Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Mke wangu amejifungua kama siku kumi hivi zilizopita. Je, yatupasa tukae siku ngapi bila kuingiliana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujuwa elimu yako ya shule kwanza
.....dini yako....na kabila lako.Mwisho ndoa yako ilikuwa ya kesirikali,kimila au kidini
Ha ha haa majorfaddyBado sana kijana.. endelea kuvumilia tu.. vimiezi vitatu vinne vinakuhusu.... no papuchi
Mi sijasema nataka kumuingilia. Nimeuliza ili nipate ufahamu tu
Mke wangu amejifungua kama siku kumi hivi zilizopita. Je, yatupasa tukae siku ngapi bila kuingiliana?
Mke wangu amejifungua kama siku kumi hivi zilizopita. Je, yatupasa tukae siku ngapi bila kuingiliana?
minimum miaka 6 ila maximum miaka13.
Mkuu miaka au miez sjaelewa
minimum miaka 6 ila maximum miaka 13.
Hata Kama Ni Family Planing,hi Ime Exceed Mkuu
hiyo ndiyo modern family planning.
Siku kumi na mbili zinatosha......tena ndio vizuri unakaza na njia........si mkeo bana.............anza ili uboost maziwa ya mtoto.............
Siku kumi na mbili zinatosha......tena ndio vizuri unakaza na njia........si mkeo bana.............anza ili uboost maziwa ya mtoto.............