Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

I don't 'have' anything. No one does.
Humans are not special from everything else in the universe.... we didn't come into this universe, we came out of it like a leaf comes out a tree.
We are part of everything.
The concept of 'having' something is nonsense. It's like saying cement is having a wall... Or same as saying a wall is 'having' cement, both equally absurd. Cement is part of the wall itself. Cement is the wall and the wall is cement.


I conveyed to you that you have a complete lack of knowledge about religions, especially Christianity.
I am not here to debate about religions, which religion is right than the other.
I am here to simply convey what is infront of you. About What is happening in this 'thing' we call the universe.
I dont have any doctrine to teach or to go against.

Christianity was not understood even by some of the disciples themselves let alone todays 'christians'.
What you call 'Christianity ' today is a watered down altered version of the teachings of Jesus propagated by the Catholic Church.

So I shall not try to debate you on those altered dogmas and doctrines. Instead I shall Just talk about what is. Just like Jesus did.
 
Kumeza vifungu ni mtihani mgumu sana.
You lack passion/dedication.
Ingawaje pia kuna some form of kipaji cha cramming capacity. Ndomaana sio waislam wote wameikariri Quran mwanzo mwisho.
KWAHYO Ukiwa na ubongo mzuri wa kukakriri vitu, ukawa na passion plus dedication(yani unakaririshwa kwa kuchapwa fimbo tangu utotoni)..Hata dictionary ungeweza kuikariri mwanzo mwisho.
 
You lack passion/dedication.
Ingawaje pia kuna some form of kipaji cha cramming capacity. Ndomaana sio waislam wote wameikariri Quran mwanzo mwisho.
KWAHYO Ukiwa na ubongo mzuri wa kukakriri vitu, ukawa na passion plus dedication(yani unakaririshwa kwa kuchapwa fimbo tangu utotoni)..Hata dictionary ungeweza kuikariri mwanzo mwisho.
Siwezi mkuu namba tu zinanishinda.
 
Quran mashairi kama vile nyimbo za Bongofleva yaan asilimia kubwa aya zake zinaishia na vina vyote sawa hivyo ni rahisi kukariri mashairi
Biblia ni hadithi za kutungwa ambazo zimekusanywa katika vitabu vingi mpk vingine wakapunguza wakavitoa ni ngumu kukariri vitabu vyote labda uwe unadonoadonoa verse
 
YA NINI SASA? NI UPUUZI. NI KUSOMA AU KUKARIRI? MI SIJAONA WAKISOMA. NIMEONA WAKIKARIRI.
ww kichwani mwako hamna kitu wahusika wanajua nn wanacho kifanya km hujui uliza wanao jua chuki hazi saidii kitu bibilia mliharibu wenyew kila siku mnaleta maboresho waislam kwao halipo hlo wameshaona athari zinazo jitokezo kwa waumin wakristo wengi hawaijui bibilia hata hio misingi yk waumin wao na ndio mana uta gundua wakristo kutokea mtu kuwadanganya kupitia bibilia ni rahis kwn wengi wao hawaijui
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Hayawezi kuwepo kwasababu biblia inatafsiriwa kwa lugha zote na kwa ajiri ya mataifa yote

Wakat
QURAN ipo kwa ajili ya kueneza kiarabu hivo mashindano ni kutaka kujua kama Kiarabu kinawaingia na kinasambaa!!
Ingekua ya kiswahili mashindano ya nn?
Hayo mashindano yenyewe unayaona yanafanyika nchi gan
 
ww kichwani mwako hamna kitu wahusika wanajua nn wanacho kifanya
WASIO NA KITU NDO HAO WANAONA WAKIKARIRI HIYO MISTARI AMBAYO HATA HAWAIELEWI NDO WANAKUWA NA KITU. BURE KABISA AND WASTAGE OF TIME.
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
 

Attachments

  • VID-20240902-WA0018.mp4
    4.8 MB
WASIO NA KITU NDO HAO WANAONA WAKIKARIRI HIYO MISTARI AMBAYO HATA HAWAIELEWI NDO WANAKUWA NA KITU. BURE KABISA AND WASTAGE OF TIME.
usilo lijua jifunze kwa wanao jua elimu yyt dunian ina thamani kwa sehem husika na km huhsik huwez kujua thaman yk
 
Back
Top Bottom