Mradi wa watu ule hawako tayari kuupoteza.Hapo Magogoni palitakiwa kujengwa daraja refu ambalo lingeruhusu meli kubwa kupita chini.
Daraja hili lilihitajika zaidi ya daraja la Tanzanite au lile la Nyerere.
Ila, nchi yetu ina tabia ya kuwa na vipaumbele vibaya.