Lini Tanzania itaruhusu matumizi ya Paypal?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Katika karne hii tumebarikiwa maendeleo ya makubwa mno katika teknolojia na sasa dunia imekua kama kijiji. Yapo mengi sana yaliyofanywa katika teknolojia ila internet ni teknolojia ambayo imekuwa na faida nyigi sana ikiwemo kuanzishwa kwa mtandao wa paypal ambao hurahisha kutuma na kupokea pesa kwa usalama zaidi. kwa lugha nyepesi huu mtandao ni kama m-pesa ya dunia.

Nchi nyingi sana wakiwemo hata majirani zetu kenya waliiona fursa ya kujiunga na mtandao wa paypal, leo hii muuzaji wa kenya anaweza kulipwa pesa na mnunuzi wa ujerumani anaehitaji huduma / bidhaa.

Tanzania tunachoweza kufanya kwenye huu mtandao ni kufanya malipo tu na sio kupokea malipo, kwa mfano tunaweza kununua bidhaa / huduma za kenya ila haiwezekani mtu wa marekani au kenya kununua bidhaa zetu kwa kutumia paypal, hii imesababisha watanzania wengi tushindwe kuuza bidhaa na huduma zetu mtandaoni kwa sababu wanunuzi wengi wanapendelea kununua bidhaa zao kwa paypal ambayo ni salama.

Kwa hapa Tanzania hiki kitu kimepigiwa kelele sana pasipo kua na dalili yoyte ya utekelezaji, Kinachobakia watu wanatumia internet kucheki youtube, kufatilia umbea instagram, kuchati whatsapp na kutafuta wachumba facebook na badoo.

Tunakwama wapi katika kutekeleza sera ya Tanzania ya viwanda, Kuwepo kwa paypal Tanzania ni kuleta uchochezi wa kupanua viwanda kwasababu soko litavuka hadi mipaka.
 
UNA HOJA NZURI ILA WATOA MAAMUZI NI KAMA HAWALICHUKULII MAANANI VILE?
 
Hilo Ni suala muhimu Sana.. Ila kujaribu kulielezea kwa watawala hawa hawa wa sisiemu, ni sawa tuu na kutwanga MAJI kwny kinu !!!
 
Suala la muhimu sana ila atakayeshauri hili jambo anaweza kuishia kutumbuliwa.
 
Mpaka rais waambie, ili watendaji wetu hawawezi kuliona, rais anaposema tuchangamkie fursa moja za fursa ni kama hizi. Nadhana watendaji wanaogopa utakatishaji fedha, awajui unapotatua changamoto ndiyo unatengeze fursa. Watendaji wetu wanaogopa changamoto baada ya kuzitatua. Rais anapotaka asaidiwe moja ya mambo ni kama haya, ya kuwarahisishia watanzania kufanya biashara kwa wepesi zaidi. Juzi wizara ya kilimo imezindua mfumo utakao fanya wakulima wafanye biashara online. Sasa watendaji wangeangalia jinsi gani PAYPAL itumike kufanya malipo, ni mfumo ambao ni salaama na rahisi. Kadri tunavyo ogopa vivuli vyetu ndivyo tunavyo zidi kuchelewa.
 
Siku sisiemu itakapotoka madarakani, hili jambo litawezekana tu.
 
Dunia ni kama kijiji siku hizi, kila kitu waweza kukipata kwa simu yako kiganjani mwako kwa internet.

Cha muhimu zaidi kwenye internet ni kuitumia ijenge uchumi wako, internet imewezesha mfanyabiashara wa australia aweze kupokea pesa kwa mteja wake wa marekani kwa njia rahisi zaidi ya paypal.

Kwa Tanzania tumekuwa na uwezo wa kufanya malipo pekee kwa mfumo wa paypal bila kuruhusiwa kupokea pesa, Watu hufanya manunuzi kwenye mitandao kama alibaba, ebay, amazon, fiverr, hostgator, itunes, n.k laikini llinapokuja suala la kupokea pesa inakua haiwezekani, kitu ambacho kinafanya hata uchumi wetu udhoofike kwa kuifanya inchi iwe na imports nyingi kuliko exports.

Wenzetu hapo mpakani Kenya wameshatimiza hili zamani, kwa sasa kuna wafanya biashara hasa wale wanaotoa huduma wanaweza kufanya kazi na wateja wao wa marekani, uingereza, ufaransa, n.k na kupokea fedha kwa njia ya paypal.

Kwa hapa Tanzania hiki kitu kimepigiwa kelele sana pasipo kua na dalili yoyte ya utekelezaji, Kinachobakia watu wanatumia internet kucheki youtube, kufatilia umbea instagram, kuchati whatsapp na kutafuta wachumba facebook na badoo.

Tunakwama wapi katika kutekeleza sera ya Tanzania ya viwanda, Kuwepo kwa paypal Tanzania ni kuleta uchochezi wa kupanua viwanda kwasababu soko litavuka hadi mipaka.

Tutafakari, Dunia ni kama kijiji sikuhizi
Pia Skrill tuwemo,
Tunakosa mengi Sana,
Sijui kwanin tigopesa, Airtel money, etc hawachangamkii hii fursa
 
Hilo Ni suala muhimu Sana.. Ila kujaribu kulielezea kwa watawala hawa hawa wa sisiemu, ni sawa tuu na kutwanga MAJI kwny kinu !!!
Hata wangekua wa chadema or the so called opposition sidhan kama tungekua tumepiga hatua.....politicians are politicians
 
PayPal shida,dual citizenship shida, sijawahi kuano retrogressive backward leadership ,viongozi wa ajabu kweli.
 
Dunia ni kama kijiji siku hizi, kila kitu waweza kukipata kwa simu yako kiganjani mwako kwa internet.

Cha muhimu zaidi kwenye internet ni kuitumia ijenge uchumi wako, internet imewezesha mfanyabiashara wa australia aweze kupokea pesa kwa mteja wake wa marekani kwa njia rahisi zaidi ya paypal.

Kwa Tanzania tumekuwa na uwezo wa kufanya malipo pekee kwa mfumo wa paypal bila kuruhusiwa kupokea pesa, Watu hufanya manunuzi kwenye mitandao kama alibaba, ebay, amazon, fiverr, hostgator, itunes, n.k laikini llinapokuja suala la kupokea pesa inakua haiwezekani, kitu ambacho kinafanya hata uchumi wetu udhoofike kwa kuifanya inchi iwe na imports nyingi kuliko exports.

Wenzetu hapo mpakani Kenya wameshatimiza hili zamani, kwa sasa kuna wafanya biashara hasa wale wanaotoa huduma wanaweza kufanya kazi na wateja wao wa marekani, uingereza, ufaransa, n.k na kupokea fedha kwa njia ya paypal.

Kwa hapa Tanzania hiki kitu kimepigiwa kelele sana pasipo kua na dalili yoyte ya utekelezaji, Kinachobakia watu wanatumia internet kucheki youtube, kufatilia umbea instagram, kuchati whatsapp na kutafuta wachumba facebook na badoo.

Tunakwama wapi katika kutekeleza sera ya Tanzania ya viwanda, Kuwepo kwa paypal Tanzania ni kuleta uchochezi wa kupanua viwanda kwasababu soko litavuka hadi mipaka.

Tutafakari, Dunia ni kama kijiji sikuhizi
Stady vizuri businesse transaction za PayPal zinafanyikaje na wewe fungua kampuni andika MoU jinsi utakavyoifanya sajili kampuni brela nenda TRA watakupa mwongozo then anza biashara. Kama unajua kuna fursa unasubiri nani aanze? Anza wewe!
 
Du
Duh! Mpaka CCM itoke madaraki? Pole sana! CCM kwani inazuia usifanyekazi/ biashara?
Uwe unapata muda wa kutafakari mada kwanza, sio unakurupuka tu kujibu hoja. Mada mezani ni lini Tanzania itaruhusu kupokea pesa kwa Paypal, usijibu kama mwendawazimu. Sawa sawa?
 
Walishafuatwa wakasema soko la Tanzania bado halipo conducive kwao...
 
Dunia ni kama kijiji siku hizi, kila kitu waweza kukipata kwa simu yako kiganjani mwako kwa internet.

Cha muhimu zaidi kwenye internet ni kuitumia ijenge uchumi wako, internet imewezesha mfanyabiashara wa australia aweze kupokea pesa kwa mteja wake wa marekani kwa njia rahisi zaidi ya paypal.

Kwa Tanzania tumekuwa na uwezo wa kufanya malipo pekee kwa mfumo wa paypal bila kuruhusiwa kupokea pesa, Watu hufanya manunuzi kwenye mitandao kama alibaba, ebay, amazon, fiverr, hostgator, itunes, n.k laikini llinapokuja suala la kupokea pesa inakua haiwezekani, kitu ambacho kinafanya hata uchumi wetu udhoofike kwa kuifanya inchi iwe na imports nyingi kuliko exports.

Wenzetu hapo mpakani Kenya wameshatimiza hili zamani, kwa sasa kuna wafanya biashara hasa wale wanaotoa huduma wanaweza kufanya kazi na wateja wao wa marekani, uingereza, ufaransa, n.k na kupokea fedha kwa njia ya paypal.

Kwa hapa Tanzania hiki kitu kimepigiwa kelele sana pasipo kua na dalili yoyte ya utekelezaji, Kinachobakia watu wanatumia internet kucheki youtube, kufatilia umbea instagram, kuchati whatsapp na kutafuta wachumba facebook na badoo.

Tunakwama wapi katika kutekeleza sera ya Tanzania ya viwanda, Kuwepo kwa paypal Tanzania ni kuleta uchochezi wa kupanua viwanda kwasababu soko litavuka hadi mipaka.

Tutafakari, Dunia ni kama kijiji sikuhizi
Huenda wana wasiwasi kuwa mapato mengi hawatakuwa wakiyapata ujue hata benki zitatumika chache kusafirisha pesa kwenda nje, njia moja ya serikali kupata fedha za kusafirisha pesa ni Benki maana yuko naye hapo mengine ya mtandao ku control ngumu kdg
 
Kiukweli tz huwa tuko nyuma sana kwa mambo ya dunia ya sasa,hebu angalia tu utolewaji wa passport ulivyo mgumu
 
Stady vizuri businesse transaction za PayPal zinafanyikaje na wewe fungua kampuni andika MoU jinsi utakavyoifanya sajili kampuni brela nenda TRA watakupa mwongozo then anza biashara. Kama unajua kuna fursa unasubiri nani aanze? Anza wewe!
Wewe inaonekana huna uelewa na kinachojadiliwa hapa. Anyway, wewe ni wakupuuzwa tu.
 
Back
Top Bottom