Lini tutaanza kukiendeleza Kisiwa cha Mafia kwa ajili ya utalii

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Hivi unajua beach za Mafia hazina tofauti na za Zanzibar
Kwa nini serikali isiwekeze kuitangaza Mafia kwa utalii at least pafanane kimaendeleo na Nungwi, Zanzibar

Nilienda Nungwi mwaka jana, actually ni pazuri sana. Nungwi hata sio mji mkubwa kama Stone Town ni kamji kadogo tu lakini kana miundombinu ya utalii pamoja na hoteli nzuri sana na beach yake ni nzuri mno. Watalii wanaotaka utulivu wanaenda Nungwi. Binafsi nilipapenda Nungwi kuliko hata Zanzibar kule jijini (Mjini Magharibi)

Na ukiangalia Nungwi, hakuna kitu kigumu kilichojengwa pale kusema tunashindwa kwenda kukijenga Mafia. Sio lazima wazungu wajenge hoteli pale, hata hawa mabilionea Watz kwa nini msiwashinikize wakawekeze Mafia ili watu waende kutalii

Kitu kingine Mafia kuna hadi viboko (hippos). Dunia nzima ni visiwa viwili tu vilivyopo baharini ambavyo vina hippos

Angalia picha za Mafia, hii ilipaswa kuwa sehemu ya watalii kabisa. Mafia inapaswa ifanane na Nungwi, Zanzibar
When travelers think of Tanzanian islands_ Zanzibar usually comes to mind first. But just sou...jpeg

Mnataka mhamishie utalii Mafia baadala ya Unguja na Pemba ? Patachimbika nyie hamuwajui ndugu zetu katika muungano 🐼
Utalii hauwezi kuhama, bali unaongezeka
Wapo watakaoenda Zanzibar na wengine wataenda Mafia
Ni kama tu ilivyo Ngorongoro, Serengeti, Tarangire na Manyara. Zote zinapokea watalii licha ya kuwa karibu
 
Tukiwa na serikali ya Tanganyika
 
Mafia ni kisiwa kizuri mno
Huko kuna wakati nlikaa sana kisiwa cha jibondo (jamaica)
Kisiwa cha chole kuna kisiwa cha juwani
Kilindoni hapo halmaahauri
Wakuda wengi wakojani
Inshort mafia ilitokea kunitokaa gaflaa na sjui kama ntakuja rudi hko,
Wee nenda kawekeze tu

Ova
 
  • Thanks
Reactions: apk

Mafia ufikikaji wake mgumu.
 
Kuna beach nzuri kama miami, je kuna shughuli za kiuchumi kuvuta watu usije kujenga hotel ikawa ghost
 
  • Thanks
Reactions: apk
Huko kuna wakati nlikaa sana kisiwa cha jibondo (jamaica)
Kisiwa cha chole kuna kisiwa cha juwani
Kilindoni hapo halmaahauri
Wakuda wengi wakojani
Inshort mafia ilitokea kunitokaa gaflaa na sjui kama ntakuja rudi hko,
Wee nenda kawekeze tu

Ova
Ni kwa sababu Mafia ni kisiwa kilichosahaulika ndio maana hakikuvutii kurudi huko
Na hiyo ndio point yangu, inabidi tuifanye Mafia kuwa "alive"
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kuna beach nzuri kama miami, je kuna shughuli za kiuchumi kuvuta watu usije kujenga hotel ikawa ghost
Ndio inabidi serikali ianze kuforce shughuli za kiuchumi huko Mafia, ili watu waende kuishi at the same time wanabuild miundombinu ya utalii, Next years pawe sehemu inayofaa kuishi na inayopokea watalii
 
Back
Top Bottom