Tulikuwa tunaondokea nyamisati au kisiju kwa majajaziMafia ufikikaji wake mgumu.
Mimi nlienda kufanya uvuvi wa jongo huko,mziki nliokutana nao mm mqenyewe mmbishi lakini nlikubaliNi kwa sababu Mafia ni kisiwa kilichosahaulika ndio maana hakikuvutii kurudi huko
Na hiyo ndio point yangu, inabidi tuifanye Mafia kuwa "alive"
Mafia ikiboreshwa vyema itaimeza zanzibar,on the spot hakika hakika sababu kubwa kutakuwa hakuna restrictions za baadhi ya mambo!🏯🏦🏯Ndio mnataka kuvuruga muungano, mnataka bara kuwe na kisiwa cha utalii ili Wazanzibari wafe njaa ?
Post in thread 'Tuboreshe kisiwa cha Mafia kama mbadala wa Zanzibar' Tuboreshe kisiwa cha Mafia kama mbadala wa Zanzibar