Mafia ni pwani 😂😂😂😂.Mnataka kuvuruga muungano🐼
Ndio mnataka kuvuruga muungano, mnataka bara kuwe na kisiwa cha utalii ili Wazanzibari wafe njaa ?Mafia ni pwani 😂😂😂😂.
Mkuu wa mkoa wa Pwan anasimamia hadi Mafia.
Mnataka mhamishie utalii Mafia baadala ya Unguja na Pemba ? Patachimbika nyie hamuwajui ndugu zetu katika muungano 🐼Kivipi sasa
Utalii hauwezi kuhama, bali unaongezekaMnataka mhamishie utalii Mafia baadala ya Unguja na Pemba ? Patachimbika nyie hamuwajui ndugu zetu katika muungano 🐼
Huko kuna wakati nlikaa sana kisiwa cha jibondo (jamaica)Mafia ni kisiwa kizuri mno
Mafia ufikikaji wake mgumu.Huko kuna wakati nlikaa sana kisiwa cha jibondo (jamaica)
Kisiwa cha chole kuna kisiwa cha juwani
Kilindoni hapo halmaahauri
Wakuda wengi wakojani
Inshort mafia ilitokea kunitokaa gaflaa na sjui kama ntakuja rudi hko,
Wee nenda kawekeze tu
Ova
Ni kwa sababu Mafia ni kisiwa kilichosahaulika ndio maana hakikuvutii kurudi hukoHuko kuna wakati nlikaa sana kisiwa cha jibondo (jamaica)
Kisiwa cha chole kuna kisiwa cha juwani
Kilindoni hapo halmaahauri
Wakuda wengi wakojani
Inshort mafia ilitokea kunitokaa gaflaa na sjui kama ntakuja rudi hko,
Wee nenda kawekeze tu
Ova
Ndio inabidi serikali ianze kuforce shughuli za kiuchumi huko Mafia, ili watu waende kuishi at the same time wanabuild miundombinu ya utalii, Next years pawe sehemu inayofaa kuishi na inayopokea wataliiKuna beach nzuri kama miami, je kuna shughuli za kiuchumi kuvuta watu usije kujenga hotel ikawa ghost