Unataka mheshimiwa aende Gaza ?Waziri wa nje na uhusiano wa kimataifa ? Mheshimiwa sana Januari !
😂😂
Mzanzibari ni nani?Palestina na Zanzibar Wana historia zinazofanana
Mzanzibari Mkaazi aliyezaliwa ZanzibarMzanzibari ni nani?
Tuanzie hapo
Ndiyo, akatuwakilishe
Na Mpalestina ni nani?Mzanzibari Mkaazi aliyezaliwa Zanzibar
PUTIN: Nyie Hamas hamna akili, unaanzisha vita unayojua huwezi kushinda, uliyemchokoza akijibu unaanza kupiga mayowe kuomba msaada!Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki.
Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)?
NB: Katika msafara wa kusafirisha misaada hiyo wajumbe 50 lazima watokee Zanzibar.
Wabillah Taufiq
Kumbukumbu zinaonyesha wapelestina waliamua kumsadia idd amini dhidi yetu wakati wa vita na uganda. Wapambane na hali yaoNi wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki.
Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)?
NB: Katika msafara wa kusafirisha misaada hiyo wajumbe 50 lazima watokee Zanzibar.
Wabillah Taufiq
Kumbukumbu zinaonyesha wapelestina waliamua kumsadia idd amini dhidi yetu wakati wa vita na uganda. Wapambane na hali yao
wewePalestina Ni ndugu zetu
Mkivipi?isaada ya kiutu inatakiwa Palestina. Tuache unafiki, tuponetanauwa watu halafu tumsaidie?
Wakati wa Nyerere, Tanzania na Palestina tulikuwa marafiki sana. Mara zote Yasser Arafat alipokuwa akipita juu ya anga letu alishusha ndege kutusalimu. Ilikuwa ni upendo mkubwa. Tunastahili kupeleka msaada haraka huko GazaNi wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki.
Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)?
NB: Katika msafara wa kusafirisha misaada hiyo wajumbe 50 lazima watokee Zanzibar.
Wabillah Taufiq
Iran anayewapa Hamas na Hizbollah makombora na silaha nyingine ili kuhakikisha mgogoro baina ya Israel na Palestine hauishi, kwa nini asilibebe jukumu la kuwatunza Wapalestina baada ya kuwasababishia madhira yanayoendelea?Wakati wa Nyerere, Tanzania na Palestina tulikuwa marafiki sana. Mara zote Yasser Arafat alipokuwa akipita juu ya anga letu alishusha ndege kutusalimu. Ilikuwa ni upendo mkubwa. Tunastahili kupeleka msaada haraka huko Gaza