Lini tutapeleka misaada Palestina?

Lini tutapeleka misaada Palestina?

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki.

Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)?

NB: Katika msafara wa kusafirisha misaada hiyo wajumbe 50 lazima watokee Zanzibar.

Wabillah Taufiq
 
Waziri wa nje na uhusiano wa kimataifa ? Mheshimiwa sana Januari !
 
Unataka mheshimiwa aende Gaza ?

IMG_20211228_160309.jpg
 
Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki.

Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)?

NB: Katika msafara wa kusafirisha misaada hiyo wajumbe 50 lazima watokee Zanzibar.

Wabillah Taufiq
PUTIN: Nyie Hamas hamna akili, unaanzisha vita unayojua huwezi kushinda, uliyemchokoza akijibu unaanza kupiga mayowe kuomba msaada!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki.

Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)?

NB: Katika msafara wa kusafirisha misaada hiyo wajumbe 50 lazima watokee Zanzibar.

Wabillah Taufiq
Kumbukumbu zinaonyesha wapelestina waliamua kumsadia idd amini dhidi yetu wakati wa vita na uganda. Wapambane na hali yao
 
Anayewatuma kufanya ugaidi anaishi Qatar na wake wanne...huyu ndiye alitakiwa kutoa misaada.
 
Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki.

Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka vyakula na nguo. Sisi lini tunapeleka mifugo na msaada wa ushauri nasaha (counselling)?

NB: Katika msafara wa kusafirisha misaada hiyo wajumbe 50 lazima watokee Zanzibar.

Wabillah Taufiq
Wakati wa Nyerere, Tanzania na Palestina tulikuwa marafiki sana. Mara zote Yasser Arafat alipokuwa akipita juu ya anga letu alishusha ndege kutusalimu. Ilikuwa ni upendo mkubwa. Tunastahili kupeleka msaada haraka huko Gaza
 
Iran anayewapa Hamas na Hizbollah makombora na silaha nyingine ili kuhakikisha mgogoro baina ya Israel na Palestine hauishi, kwa nini asilibebe jukumu la kuwatunza Wapalestina baada ya kuwasababishia madhira yanayoendelea?

UN walistshili kuibana Iran na kuilazimisha kulipa fidia kwa maafa yote yaliyotokea huko Palestine na Israel.
 
Back
Top Bottom