Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

Siku zingine upunguze kuzungumza mambo kiushabiki, nadhani umeshajijua kwamba umekwama

Bro you are wasting your valuable time to argue with a person fool of emotions. I suspect the following to this guy

Wyatt Mathewson

Is either a pregnant, or if he is a men, unfortunately his brain is female.​

 
Mkuu

Talk to me directly,as a man!

Stop gossiping mzee!

Halafu jifunze English sawa sawa....Your English proficiency is in ICU!

"I suspect the is...." what the fvck is that?

"he is a men...." what the fvck is that mzee?

I'm smarter than all of you put together ndio maana mpo hapa busy answering my posts!

Nisingekua smarter than you two msingekua mnajibu my posts,coz zisingekua worth your time!

They worth your stupid time...keep answering,I command ya'll!

In a behavioural studies, the person (man) who behaves like the way you do, possess a female brain.
Always you talk with full of emotions.
😁😁😁

Btw, I was reminding the guy not to waste his precious time to discuss with a person who likes to argue in moody and temperance.
 
Kenya ni nchi yenye matatizo mengi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa sasa, ukabila, rushwa, ukosefu wa usalama, upungufu wa chakula, migogoro kati ya jamii za wafugaji, miradi ya serikali isitozingatia mahitaji ya wananchi, Covid -19, dhuluma ya umiliki wa athi, vurugu za kisiasa wakati na baada ya uchaguzi ni baadhi tu ya matatizo ya msingi yanayoikabila nchi ya Kenya.

Ukiangalia kwa makini ni kwamba, kwa kiwango kikubwa, Tanzania imefanikiwa sana katika kupunguza kama sio kumaliza kabisa haya matatizo. Kwa akili ya kawaida kabisa, ilipaswa Kenya kujifunza yale mazuri ambayo Tanzania imefanikiwa na ni rahisi kuyamaliza kwa mda mfupi kama kupambana na rushwa, kupambana na ujambazi, kuzalisha chakula, kupambana na Civil -19 na kuzuia ghasia katika vipindi vya uchaguzi, haya ni mambo yanayoweza kudhibitiwa ndani ya muda mfupi bila hata kusubiri BBI na katiba mpya.

Viongozi wa Kenya lazima wakubali kwamba kuna mambo mengi mazuri wanapaswa kuiga toka Tanzania, hakuna faida yoyote ya kujisikia aibu kwa kuiga mazuri yanayofanywa na jirani yako, hata kama ni adui yako, kwa kufanya hivyo Kenya itaendelea kubaki na matatizo bila kujinasua.

"If you can't beat them, join them"
Wakenya wenye akili wanalitangaza hili. Kuifanya Tanzania kama vielelezo.
20201122_204427.jpg
 
Hahahaha, kati ya mimi na PLO nani aliyeanza kusema?

Kwanza PLO hawamfagiliagi kwa sababu anaongea ongea mambo ya kina Nyerere, Kwame Nkurumah, Lumumba et al. Yeye anaongea kuhusu umoja wa Afrika na kujitambua kwa waAfrika ya kuwa hatuna mjomba ambaye atakuja kutusaidia. Tuungane na kupambana wenyewe.
Sasa wakenya wengi kwa kukosa utambuzi, hawapendi hayo maneno yake. Hawapendi kwa sababu PLO hawafagilii na hata sifii mabeberu🐐🐐🐐. Hilo kwa wakenya ni tatizo. Unaongea halafu husifii beberu🐐.
😀😁😃
 
Back
Top Bottom