Lini Watanzania tutaamka na kusema IMETOSHA?

Kama una profesa kama Kabudi, Tibaijuka na machawa wengine waliopoteza muda madarasani, untegemeani? Maprofesa na madaktari wanamuita kihiyo daktari unategemea nini?
Ati wanasema walikua majalalani, Afya na Umasikini angalau kwa baadhi ya wateule ila ujinga bado sana.
 
Ukiniuliza kama Tanzania ina kiongozi, nitajibu kuwa ina rais lakini si kiongozi. Ukiuliza kama Tanzania ina sera, nitakujibu kuwa ipo sera ya uchawa. Ukiuliza, kiuchumi Tanzania inaongozwa na nini, nitakujibu kuwa sera yake ni ya shamba la bibi ambapo wezi huja na kugema watakavyo.

Ukiuliza kama Tanzania ni salama, nitakushauri ufanye utafiti na kuassess utekaji na kuporomoka kwa majengo. Ukiuiza kama Tanzania ina future, nitakujibu kuwa hata past haina. Kama mwanafalsafa, nawaza tu.

Ukiuliza kama serikali inakusanya kodi na kuzitumia vizuri, nitakujibu kuwa inawakamua maskini na kuwapa matajiri wakwepa kodi na wapiga dili wanaoshirikiana na wanasiasa mafisi. Ukiniuliza kama Tanzania ni kisiwa cha amani, nitakujibu kuwa ni kisiwa cha vurugu kinachongoja kulipuka.

Kwa wananchi wanavyoteseka huku watawala wakitanua, Tanzania inaweza kuzidiwa na hata Somalia. Je ni lini watanzania wataamka na kusema katu kuwa inatosha?
Mpaka walamba asali wazulumiane
 
Ati wanasema walikua majalalani, Afya na Umasikini angalau kwa baadhi ya wateule ila ujinga bado sana.
Kwani wametoka lini jalalani? Wangekuwa wametoka, wasingekubali kuitwa chawa nao wakakubali. Nadhani wana jalala kwenye vichwa vyao kama wao siyo majalala yenyewe yanayoitwa wasomi.
 
Sisi watanzania ndio tuna matatizo,viongozi hawana tatizo lolote,ila wanaoongozwa sisi, sijui kama tuna tofauti na nyumbu,kifupi watanzania hatujui tunataka nini kutoka kwa viongozi,
Akija kiongozi atakaeshughulikia na kulinda mali za umma,watanzania tutamuombea kifo.
Akija kiongozi mkimya,tunadai kuwa siyo kiongozi,kiongozi akiwa mkali,tutamuita dikteta
Tanzania tumejawa na uchawa,Chama tawala kina machawa wake,vyama vya upinzania vina machawa wao.yani kama vile hatujielewi tunataka nini.
Tuache dozi iendelee kufanya kazi ,hadi akili zikae sawa.
 
Du! Mie naona ni wote watawala na watawaliwa.
 
Nadhani tuanze kuuita uprofedheha siyo uprofesa. Hakuna jitu naliona kama choo kama mwanangu Kabundi. Jinyama hili linajikomba hadi linatia kinyaa.
Njaa Kaka, Wasira kasema watu hawali katiba bali michuzi na asali.
 
Njala mbaya. Ukiindekeza, unaweza hata kugeuzwa na matatizo yako yasiishe bali kuzidi mwanangu. Njaa kwangu ilikuwa shule wakati wa ujana wangu. Niliitumia kujijenga hadi sasa naandika, nina muda wa. kutanua jf bila kuwa na wasi wasi nitakula nini au wanangu.
 
Hawaamki, waliokaa wanasogea kidogo ili watoto na ndugu zao nao wakae wale.
 
Sisi watanzania ndio tuna matatizo,viongozi hawana tatizo lolote,ila wanaoongozwa sisi, sijui kama tuna tofauti na nyumbu,kifupi watanzania hatujui tunataka nini kutoka kwa viongozi,
Akija kiongozi atakaeshughulikia na kulinda mali za umma,watanzania tutamuombea kifo.
Akija kiongozi mkimya,tunadai kuwa siyo kiongozi,kiongozi akiwa mkali,tutamuita dikteta
Tanzania tumejawa na uchawa,Chama tawala kina machawa wake,vyama vya upinzania vina machawa wao.yani kama vile hatujielewi tunataka nini.
Tuache dozi iendelee kufanya kazi ,hadi akili zikae sawa.
Usiwaamini sana hawa Digital Tanzanians. Pia epuka kuwalalmikia hivyo, kwasababu moja ya lengo la mamluki ni kukugeuza na kumchapa kibao ndugu yako. NI angalizo tyu from bro to bro.

tiennde

Ingekuwa ni kweli yale malikes na nyuzi zote tangia 2021 mpaka 2024 oct ndio kama ishara za kura, kwa CHADEMA, isingepata 0.0003 za kura.

In short nothing they, say turns to any tangible results zaidi ya Matusi tu. Jiulize ni kwanini?

Nilikua nawaonea huruma Serikali na mashine zake walivyokuwa wameelemewa na fake news, wengi waliamini, tukaanza kuona teua tengua.

Fitina zilizimwa baada ya Poll ya Citizen.

Waliufyata humu..

Watanzania si mazuzu kama wanavyotaka kutuaminisha. Itoshe Watanzania wengi wanaongia na kusoma chap (Wanachungulia tu) kwa sababu wana DATA packages ndogo sana kulinganisha na hawa Internet Trolls kutoka nje. Tafakari
 
Where is your substance?

Nyerere has been dead for so long, unataka kumbebesha maovu yanayotokea leo hii 2025? How?

Eniwei, kwa ndongabyako ulitaka amgawie nani uongozi
🙏
Nyerere sio ndio founding father, kama tunamsifu kwa kujenga umoja wa watanzania na kuendeleza Kiswahili unafikiri kwanini tusimlaumu kwa kuleta uchumi wa kijamaa uliotufanya tuwe maskini. Ugawaji wa vyeo kwa misingi ya ulinganifu wa kidini au kabila umeturudisha nyuma. Tumeacha the best tukachukua the worst.
 
Ukiniuliza kama Tanzania ina kiongozi, nitajibu kuwa ina rais lakini si kiongozi. Ukiuliza kama Tanzania ina sera, nitakujibu kuwa ipo sera ya uchawa. Ukiuliza, kiuchumi Tanzania inaongozwa na nini, nitakujibu kuwa sera yake ni ya shamba la bibi ambapo wezi huja na kugema watakavyo.

Ukiuliza kama Tanzania ni salama, nitakushauri ufanye utafiti na kuassess utekaji na kuporomoka kwa majengo. Ukiuiza kama Tanzania ina future, nitakujibu kuwa hata past haina. Kama mwanafalsafa, nawaza tu.

Ukiuliza kama serikali inakusanya kodi na kuzitumia vizuri, nitakujibu kuwa inawakamua maskini na kuwapa matajiri wakwepa kodi na wapiga dili wanaoshirikiana na wanasiasa mafisi. Ukiniuliza kama Tanzania ni kisiwa cha amani, nitakujibu kuwa ni kisiwa cha vurugu kinachongoja kulipuka.

Kwa wananchi wanavyoteseka huku watawala wakitanua, Tanzania inaweza kuzidiwa na hata Somalia. Je ni lini watanzania wataamka na kusema katu kuwa inatosha?
Tanzania tunaongozwa kwa mfumo wa unyumbu wa kisiasa, (human herding in politics), unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data, kwasasa uchawa
 
Back
Top Bottom