Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

Wakuu naomba anaejua mchanganuo wa hii kitu anisaidie nimepewa 3,901,050,tution fee ni 1.3M inayotakiwa nilipe,ni kozi ya miaka minne je hii ni sawa na asilimia ngapi?
 
ARINGE !!!!!! HUYU NI MSHENZI FULANI TUU,ANAPANDISHA PRESHA ZA WATU TUU.PUMBAFFFFFFFFFFFF,fyyyyyyyyyyyyyyyy
Mbona mnambeza jamaa na ameleta taarifa za ukweli kwenye jukwaa?Hata mie pia niliyaona majina hayo leo mida ya saa 8 had 9 mchana ingawa mtandao ulikuwa unasumbua.Baadaye mtandao ulikata kabisa had muda huu website ya loanboard haifunguki,So cha muhimu ni kuvuta subira mambo yakirekebishwa mtajiona tu.
 
Wakuu kwa anayeweza kunisaidia ya Muhimbili tafadhali anisaidie humu maana kule server is down.
 
Wakuu naomba anaejua mchanganuo wa hii kitu anisaidie nimepewa 3,901,050,tution fee ni 1.3M inayotakiwa nilipe,ni kozi ya miaka minne je hii ni sawa na asilimia ngapi?

Chukua ada ya kozi yako na kiasi ambacho bodi wanayokulipia(1.3 M) then tafuta unayopewa ni asilimia ngapi ya ada.
 
Wakuu naomba anaejua mchanganuo wa hii kitu anisaidie nimepewa 3,901,050,tution fee ni 1.3M inayotakiwa nilipe,ni kozi ya miaka minne je hii ni sawa na asilimia ngapi?

kwa harakaharaka ni 100%..kwa sababu wamepigia Gharama Za
¤accomodation, meals and stationary kwa mwaka ni Tsh.2000000/=
¤school fees ni Tsh.1300000/=
Total=Tsh.3300000/= ukichukua total loan ambayo ni Tsh.3901050/=- Tsh.3300000/=Tsh.601050/=

NB: So Pesa utakayotumia kwenye Research ni Tsh.601050..So at the End unajua ni 100%
 
shukurani kaka
 
Dahh!! nikiangalia hii amount Tsh.4,502,500/= siamini amini vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…