NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 591
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalia ziko tayari nimeziatacha
sasa mtu ka mimi nikose tena 100% kabisa
Mbona mnambeza jamaa na ameleta taarifa za ukweli kwenye jukwaa?Hata mie pia niliyaona majina hayo leo mida ya saa 8 had 9 mchana ingawa mtandao ulikuwa unasumbua.Baadaye mtandao ulikata kabisa had muda huu website ya loanboard haifunguki,So cha muhimu ni kuvuta subira mambo yakirekebishwa mtajiona tu.ARINGE !!!!!! HUYU NI MSHENZI FULANI TUU,ANAPANDISHA PRESHA ZA WATU TUU.PUMBAFFFFFFFFFFFF,fyyyyyyyyyyyyyyyy
Wakuu naomba anaejua mchanganuo wa hii kitu anisaidie nimepewa 3,901,050,tution fee ni 1.3M inayotakiwa nilipe,ni kozi ya miaka minne je hii ni sawa na asilimia ngapi?
kuna link zimeorozeshwa, bt kwa sasa zinazingua sema km kuna raia wa udom me nimesav page moja.....
Chukua ada ya kozi yako na kiasi ambacho bodi wanayokulipia(1.3 M) then tafuta unayopewa ni asilimia ngapi ya ada.
Wakuu naomba anaejua mchanganuo wa hii kitu anisaidie nimepewa 3,901,050,tution fee ni 1.3M inayotakiwa nilipe,ni kozi ya miaka minne je hii ni sawa na asilimia ngapi?
kwa harakaharaka ni 100%..kwa sababu wamepigia Gharama Za
¤accomodation, meals and stationary kwa mwaka ni Tsh.2000000/=
¤school fees ni Tsh.1300000/=
Total=Tsh.3300000/= ukichukua total loan ambayo ni Tsh.3901050/=- Tsh.3300000/=Tsh.601050/=
NB: So Pesa utakayotumia kwenye Research ni Tsh.601050..So at the End unajua ni 100%
shukurani kaka
pamoja sana
wote wamekosa.....wasikate tamaa
afu wale wa special faculty kuna pesa kama 250,000 tutapewa cash..nanukia pesa balaa
Dahh!! nikiangalia hii amount Tsh.4,502,500/= siamini amini vile