Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013


oya mwana una pc unichekie boom mkuu,f yes nikupm
 

Nimekupata vilivyo kaka, nadhani watatoa maelezo zaidi
 
Hii ndio jamii forum,hatufanyi kazi ya ku like mawazo ya kipuuzi kama facebook,huku kazi ni moja tu kuonesha vitendo wala si ku tag picha,tunaelimisha jamii wala hatuna habari na mtu,INSHALLAH Mubarikiwe ninyi mliofanya mtokeo haya kuwa hewani kwenye forum za wasomi...
 

hi link ya DU-IM,mbona haifunguki ama ni kwangu tu
 
Jaman mci2kane...mzigo upo bt bt bado kutolewa...thn njie wa non priority mxihofu xana coz washkaj zangu kibao wamepata % xafi 2...kama unataka kujua hatima yako we n PM ful name yako thn mi nakuchekia coz npo hukuhuku jikon...thn xkulazmish uamin

mkuu na ku PM unichekie mimi sioni
 
we acha utani na maisha ya wa2.we unajiita mjanja,funga bakuli lako:baby:au ongea mambo ya maana.wanajamii mnisaidie mbona HESLB haifunguki?
 
oya rajablillah cheki kwenye hiyo link ya 6 na 7...kumbuka kcmc ni tawi la tumain...cheki hapo utaipata!!!
 
Last edited by a moderator:
Tangu jana nahangaika jnsi ya kudownload ajina ya UDOM, kama kuna mtu kesha yadownload plizzz atuwekee hapa kama link bnafsi bila kupitia bodi ili tuyasome.
 
[h=1]Bandwidth Limit Exceeded[/h] The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…