unajua wewe mpiga msuli huo wako ni utaahira..nimekuja spidi ya ajabu kufika nakuta hizi zilipendwa za marijani..
unajua wewe mpiga msuli huo wako ni utaahira..nimekuja spidi ya ajabu kufika nakuta hizi zilipendwa za marijani..
huu uzi nimeupenda coz naona tarehe ndo hizo zina karibia bt nahisi itakuwa ijumaa...! Kwenye tar 20 au 22 sept
Kuna mtu natamani auone huu uzi maana alinibishia sana,wabongo kwa kujua kila kitu
uzi mtamu huu!Wao ilikuwa tarehe 20