Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

Nawapenda na kuwaheshmu wasomi wenzangu embu kwa mtu ambaye ana uhakika kabsa aniambia pia kama vp YaTUpien humu ndan wengne tuko lindi vjjn shda sana tunatumia simu ndo inatufanya tukutane hapa jukwaan

mkuu usiwe Tomaso,inamaana humu ndani hakuna unayemuamini?
 
nimelamba Milioni 3,867,000...vp wakubwa nyie mmelamba ngapi?
Hongera sana ze dudu01 . Hivi hiyo amount ni ada ama inainclude vitu gani na kwa muda gani (mwaka, au kozi nzima)?
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana ze dudu01 . Hivi hiyo amount ni ada ama inainclude vitu gani na kwa muda gani (mwaka, au kozi nzima)?

wame include accomodation,schoolfees,research na vitu vingine..
 
Last edited by a moderator:
teh! teh! teh! kijana hiyo ndo 100% na mimi nilie lamba Tsh.4,502,500/= niseme nimelamba % ngapi??
 
  • Thanks
Reactions: SMU
hatimaye HESLB waachia results za loan kwenye web yao, pande zangu mtandao unakaba kinazi, but najua soon ntafanikisha. all the best kwa wenye bahati zao na waliolala na bundi kazi ni kwao
 
teh! teh! teh! kijana hiyo ndo 100% na mimi nilie lamba Tsh.4,502,500/= niseme nimelamba % ngapi??

we kwani ada ya kozi ni ngapi? Mi nasemea hiki kiwango kwa BVM tu... May be kwa Engineers mtakuwa na Kiwango chenu
 
Back
Top Bottom