The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mbona unakua mgumu kuelewa? soma tena comment yangu #16 nimeweka wazi kabisa kua nimeongelea upande wa Kibiashara hakuna sehemu yeyote niliyoongelea kuhusu Individual performance,Hakuletwa pale kwa ajili ya biashara, aliletwa pale kwa ajili ya kuisaidia timu kuweza kubeba Champion league JAMBO ambalo 100% amefail.
hivi sasa jamaa hawana mpango kabisa wa kumuongeza mkataba,
Messi amecheza UCL ngapi akiwa na PSG mpaka useme 100% amefeli,PSG haijawahi kuchukua UCL hivyo ulitegemea Messi peke yake ndio aipe UCL?