The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mbona unakua mgumu kuelewa? soma tena comment yangu #16 nimeweka wazi kabisa kua nimeongelea upande wa Kibiashara hakuna sehemu yeyote niliyoongelea kuhusu Individual performance,Hakuletwa pale kwa ajili ya biashara, aliletwa pale kwa ajili ya kuisaidia timu kuweza kubeba Champion league JAMBO ambalo 100% amefail.
hivi sasa jamaa hawana mpango kabisa wa kumuongeza mkataba,
Mbona unakua mgumu kuelewa? soma tena comment yangu #16 nimeweka wazi kabisa kua nimeongelea upande wa Kibiashara hakuna sehemu yeyote niliyoongelea kuhusu Individual performance,
Messi amecheza UCL ngapi akiwa na PSG mpaka useme 100% amefeli,PSG haijawahi kuchukua UCL hivyo ulitegemea Messi peke yake ndio aipe UCL?
Hivi kikosi Cha PSG umekiona? Ukiondoa Mbape, Messi, Neymar na kipa wengine waliobaki ni wachezaji wa kawaida sana sasa unategemea uchukue Champions league kwa wachezaji wa5? Pia Kocha timu imemzidi Hana uwezo wa kuifikisha kwenye mafanikio zaid ya kubeba hiyo league Yao tuHakuletwa pale kwa ajili ya biashara, aliletwa pale kwa ajili ya kuisaidia timu kuweza kubeba Champion league JAMBO ambalo 100% amefail.
hivi sasa jamaa hawana mpango kabisa wa kumuongeza mkataba,
Hivi kikosi Cha PSG umekiona? Ukiondoa Mbape, Messi, Neymar na kipa wengine waliobaki ni wachezaji wa kawaida sana sasa unategemea uchukue Champions league kwa wachezaji wa5? Pia Kocha timu imemzidi Hana uwezo wa kuifikisha kwenye mafanikio zaid ya kubeba hiyo league Yao tu
Yap ndio maana nikasema mpira sasa ni biashara
Ila kiuhalisia uwanjani messi ameshaisha hamna kikubwa atakupatia kwa sasa ndio maana hata barca walimuachia
Ttz mpira umekuwa biashara sana mtu kama messi kwa umri wake ameshashinda karibia kila kitu unamchukua na kumlipa mapesa mengi kwa kipi hasa wakati uhakika wa kukupatia hata goli 20 kwa msimu hana
Cheki sasa kaamua kwenda kupiga ndondo saudia
kaharibu kitu gani?Yule mwingine kisha haribu kule Saudi Arabia na anataka kuondoka,hata MANU hakuondoka kwa amani.
Hakuletwa pale kwa ajili ya biashara, aliletwa pale kwa ajili ya kuisaidia timu kuweza kubeba Champion league JAMBO ambalo 100% amefail.
hivi sasa jamaa hawana mpango kabisa wa kumuongeza mkataba,
labda useme yeye ndo hana mpango. Psg bado wanamuhitaji sana.