Sasa rekod had za kukimbia za nini oooh fastest player.Mimi sijui habari za nani ana mpumulia nafuatilia mpira uwanjani
We kama uko na hizo habar endelea ki fuatilia
Rekod nilizo weka zote zina husuoira na ni za ronaldo
Mlisema nizilete sasanaanza majungu tena
Yeshahaha...Beckenbeuer " The kaiser " yupo mbele ya Messi?
Ngoja nipite kimyakimya...
ZichambueSasa rekod had za kukimbia za nini oooh fastest player.
Rekod ninazo zitaka Kachukua UEFA mara ngap
Portugal kaisaidia kuifikisha hatua ya juu Mara ngapi
Ana ballon dor ngap
Sio unaniletea rekod oooh first player man of the match vs San Marino oooh mchezaj kufunga goli 5 vs malta HIZI SIZITAK
Hivo ndo vigezo unavo tumia kumpa messi ubora!!?Sasa rekod had za kukimbia za nini oooh fastest player.
Rekod ninazo zitaka Kachukua UEFA mara ngap
Portugal kaisaidia kuifikisha hatua ya juu Mara ngapi
Ana ballon dor ngap
Sio unaniletea rekod oooh first player man of the match vs San Marino oooh mchezaj kufunga goli 5 vs malta HIZI SIZITAK
Kwani nini!!?Huyu jamaa analete record za most appearance Hahaaaa
Kusema hata fikia subiri astaafu ila kama bado ana cheza kufikia ina wezekana tuuWenye mahaba na Ronaldo anayekimbizana na kivuli cha The King of nerve racking football Lionel Messi (asiye kuwa na misifa, mbinafsi, asiye itaji kujitengenezea midocumentary ya flash life na kujitangaza bora), ni kuwa kamwe atafikia rekodi ya uchezaji bora wa dunia wa huyu dwarf.
Msilazimishe messi ndio awe boraNaona sasa tunakoelekea mtasema hata Lunyamila alikuwa bora kuliko Messi.
Nahama uzi. Sitaki dhambi za bure.
Akibeba na hiki cha sita, forget and smile, Rinaldo atabaki kuwa bora kwa mashabiki wake tuu. Coz ubora wa mchezaji haupimwi kwenye msururu wa rekodi zake tuu, ingekuwa hivyo beki wa Italy Cannavaro asingekuwa mchezaji bora wa FIFA 2006.Kusema hata fikia subiri astaafu ila kama bado ana cheza kufikia ina wezekana tuu
Na messi ata baki kuwa bora kwenu nyie tuuAkibeba na hiki cha sita, forget and smile, Rinaldo atabaki kuwa bora kwa mashabiki wake tuu. Coz ubora wa mchezaji haupimwi kwenye msururu wa rekodi zake tuu, ingekuwa hivyo beki wa Italy Cannavaro asingekuwa mchezaji bora wa FIFA 2006.
Mimi sijui habari za nani ana mpumulia nafuatilia mpira uwanjani
We kama uko na hizo habar endelea kufuatilia
Rekod nilizo weka zote zina husu mpira na ni za ronaldo
Mlisema nizilete sasanaanza majungu tena
Utatokwa na mapovu Bure Messi ni bora si kwa Mashabiki wake pekee Bali ni kwa Beki wa Time za mataifa yote yaliyo wanachama wa FIFA na Makocha wote nchi hizi. Yaani ndio maana tunasema Ronaldo ni bora kwa mashabiki wake, kwa kuwa hata kura zingepigwa Leo duniani, ni kuwa Ronaldo tupia kuleeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na messi ata baki kuwa bora kwenu nyie tuu
Mmedai rekod hapa nimeleta mna leta siasa
Mna fanya kama jamaa yko mwenyewe tuu duniani huko ni kupretend na kuto taka kujua mambo mengine
Nna mashaka mna waskiliziaga hao wachezaj kwenye vipind vya xxl na power breakfast ila huangalii mpira wala hamfuatilii rekod
Umeanza ku assume sasa hapoUtatokwa na mapovu Bure Messi ni bora si kwa Mashabiki wake pekee Bali ni kwa Beki wa Time za mataifa yote yaliyo wanachama wa FIFA na Makocha wote nchi hizi. Yaani ndio maana tunasema Ronaldo ni bora kwa mashabiki wake, kwa kuwa hata kura zingepigwa Leo duniani, ni kuwa Ronaldo tupia kuleeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona ndo nilichoandika hapo, huo mwendelezo mwingine ni kunogesha baraza, kipande cha maafisa habari ndicho sahaulika. Ili game haliitaji hasira mkuuu, just read btn lines to understd [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] peace & one love [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Umeanza ku assume sasa hapo
Wanaopiga kura hata robo ya wachezaj wote haifiki ni makapten na mokocha na maafisa wa habari wa vyama vya soka
Kusema dunia nzima itamchagua messi ndio una prove point yangu ya nyie messi fan boys mnavo penda kuulazimisha ulimwengu uamini kile mnacho amini
Na ndo nna wapinga sasa
Sijakasirika mkuuMbona ndo nilichoandika hapo, huo mwendelezo mwingine ni kunogesha baraza, kipande cha maafisa habari ndicho sahaulika. Ili game haliitaji hasira mkuuu, just read btn lines to understd [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] peace & one love [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sio hatutakubaliana ila tatzo hapa tunajadiliana JF AUTOMATIC ROBOT yani mda wote kumpinga King na wala hachoki [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaani hapa mtafika 100 pages na bado hamtakubaliana...!
Roboti ni nan!!?Sio hatutakubaliana ila tatzo hapa tunajadiliana JF AUTOMATIC ROBOT yani mda wote kumpinga King na wala hachoki [emoji1] [emoji1] [emoji1]