Lionel Messi aweka rekodi mpya ya ufungaji Argentina ikitinga fainali Copa America

Lionel Messi aweka rekodi mpya ya ufungaji Argentina ikitinga fainali Copa America

Copa america kule siku hizi hakuna kitu ni sawa na Afrika tu.

Ndiyo maana timu kupigwa 5+ ni kawaida tu.

Mambo yote Ulaya bana, hao wengine wasindikizaji tu.

Wangekuwa wasindikizaji Albiceleste wasingefika final kule Brazil, Higuain tu ndiye alituangusha ile siku..sikilizia sasa Copa America inaenda wapi, na World Cup Russia tunaisubiri uone wazee wa tiktak watakavyowaonyesha timu pinzani mpira unavyochezwa..Vivaa Albiceleste Vivaa The King
 
Unaota bila shaka.
 
messi ni shiiiiidaaaaaaa vyenga vingi, magoli shazi, hakuna ubinafsi, vikombe chungu mbovu na nizamu ya kutosha...huyu panya hatari sana

argentina%2Bvs%2Busa%2Bhighlights.jpg

Kabisaa hapo umeongea ya maana kiongozi, asiyekuelewa basi huyo atakuwa na chuki zake
 
Umeona mkuu yani wanabishana na ukweli

Kingine mkuu,, huwa nawashangaa sana wanaomsifia ronaldo mara gaucho mara sijui nani! Ukiwaomba rekords zao wanasepa, isipokua wanabakia tu kutoa midomo yao, huwezi kumsifu player yeyote without evidence ni ujinga uliokithiri,wakati sisi mafans wa mfalme tunatoa bila shida yeyote
 
Ronaldo ni kiberenge tuuu hamna lolote, kufunga magori ndo kunamsaidia na penyewe mpaka awaminye akina benzima na bale...ronaldo hana uwezo wa kuwatoka hata mabeki wawili haweziiiii...messi ana uwezo wa kuwatoka hata mabeki 8
barcacity.jpg
1786225_w2.jpg

cpdprmbgo-0207-700x467.jpg

859306-messi-1427384155-621-640x480.jpg

Hahaaa mkuu huyu kiumbe hatari sijapata kuona tsngu soka lianze hapa ulimwenguni! Mwangalie tu timu ya taifa anawasha moto Huyo ronado kama ni best why hajawahi Ifikisha ureno hata fainali?, wafalme bana ni wawili tu wanaojulikana ktk ulimwengu wa soka,

LEO10Ş
DIEGO10Ş

Ila LEO10Ş kazidi kupita maelezo Huyu mnyama sio wakawaida,
Waliobakia ni wasindikizaji tu
 
Back
Top Bottom