Kupambana na huyu inabidi iwe hivi la sivyo mtamwita free mason bureView attachment 1148997
Kukosoa kamΓ€ hivi ndΓ² Tanzania tunachokiweza
Subiri team Messi tunakuja.....
Subiri waamke
Team nyundo
Messi is just a regular player outside BARCA, donβt deserve to be mentioned in the same line as Pele, Maradona, Ronaldinho and other great players in the World.
Nini kilimkuta pale Anfield?Kupambana na huyu inabidi iwe hivi la sivyo mtamwita free mason bureView attachment 1148997
Kupambana na huyu inabidi iwe hivi la sivyo mtamwita free mason bureView attachment 1148997
Bado ni kinyesi tu na uozo wa jalalani ktk vionjo vizuri na vilivyoshiba mbele ya Rinaldinho GauchoPamoja na Yote Messi Bado anabaki kuwa ndiye mchezaji wa kiwango na kipaji cha kipekee kuwahi kutokea duniani
Mkuu kuna Utofauti Mkubwa sana wa Malezi, Elimu na Utamaduni Kati ya Ulaya (CR) na America Kusini (LM).
America kusini wachezaji wake wote Dizaini ya Wachezaji wa Manzese, TMK nk so CR usimlinganishe na hao Machoko kitabia na haiba.
Hivi Ronaldo amekiongoza nini?
Timu Andunje wakikusapoti ktk hili basi watakuwa siyo watoto wadogo tena kiupeo.Kuweka ushabiki kando, binafsi nimekuelewa sana tu.Ni sawa na Kumpa ukiranja mkuu anayeshikaga ukwanza darasani bila kujali uwezo wake wa kiuongozi.Hongera sana mleta mada...!
Kabisa Chifu, alikuwa nnje akihamasisha wachezaji wajitume na kuwapatia morali wa juu akiwa majeruhi hadi Ureno walibeba ndoo [emoji120]-Ameibeba timu yake kuipeleka world cup vs Sweden kwenye playoff anafunga Hat trick mbele ya Ibra. Moja Kati ya mechi Kali Sana kupata kuiona.
-kwenye Euro mechi karibia zote either anafunga ama anatoa pasi ya Goli kasoro fainali. Na fainali yenyewe alivyoumia akawa kocha yeye.
Portugal Sasa hivi ni wazuri Wana young players ambao Wana potentials kubwa Sana, ila at that time Ronaldo alikuwa akicheza na watu wa kawaida Sana Kama Eder, carvalho, Silva, joao Mario, quaresma etc
Ukitaka nitakuekea clips za Euro jinsi Ronaldo alivyoibeba timu yake Hadi fainali
πKila kitu kukosoa tu. Messi nae ni binadamu, ana mapungufu yake kama ilivyo kwa mwanadamu yoyote yule.
Hehehe ushabiki uliopitiliza sasa , kwa hivyo ukiwa good leader lazima timu yako ibebe kombe? Mbona Gerald na ugood leader wake hakuwahi kushinda EPL?-Ameibeba timu yake kuipeleka world cup vs Sweden kwenye playoff anafunga Hat trick mbele ya Ibra. Moja Kati ya mechi Kali Sana kupata kuiona.
-kwenye Euro mechi karibia zote either anafunga ama anatoa pasi ya Goli kasoro fainali. Na fainali yenyewe alivyoumia akawa kocha yeye.
Portugal Sasa hivi ni wazuri Wana young players ambao Wana potentials kubwa Sana, ila at that time Ronaldo alikuwa akicheza na watu wa kawaida Sana Kama Eder, carvalho, Silva, joao Mario, quaresma etc
Ukitaka nitakuekea clips za Euro jinsi Ronaldo alivyoibeba timu yake Hadi fainali
Wapi kumeandikwa ukiwa good leader lazima timu ichukue kombe?Hehehe ushabiki uliopitiliza sasa , kwa hivyo ukiwa good leader lazima timu yako ibebe kombe? Mbona Gerald na ugood leader wake hakuwahi kushinda EPL?
Hayo ni mambo ya bahati tu wala hakuna cha good leader hapo , timu inahitaji ubora na kujituma kwa wahusika tu na mchezaji siye atakayewafanya watu wacheze kama anavyocheza yeye.
Wapo makapteni wazuri ila hawajawahi kushinda kombe la dunia wala EURO
Hehehe , then what are you blaming here unapokuja na post za Messi kutokuwa good leader? Kama si good leader wewe unatumia kigezo gani kupima?Wapi kumeandikwa ukiwa good leader lazima timu ichukue kombe?
Wapi nimeandika Messi sio good leader? Sikuelewi elewi unatunga vitu na kujijibu as if nimesema mimiHehehe , then what are you blaming here unapokuja na post za Messi kutokuwa good leader? Kama si good leader wewe unatumia kigezo gani kupima?
Amecheza fainal nne akiwa capten na kabla ya kuwa kapten na zote kapoteza sasa u good leader wake unahusianaje na kutofanikiwa kwa timu ya Argentina?
Kubalini katika maisha huwezi pata kila kitu
Wapi nimeandika Messi sio good leader? Sikuelewi elewi unatunga vitu na kujijibu as if nimesema mimi