Kwa hio unapocheza na magarasa na ukahakikisha yanafunga kwa any means, kupambana kutia cross, ku assist, kufunga, Mpira ukipoa unauwahisha, kukimbiza mda wote sio sifa za uongozi?
Na inategemea unaipeleka vipi na hattrick umefunga against Nani.
Sweden walikuwa vizuri na hio hattrick ya Ronaldo haikuwa tu eti anafunga Goli 3 na mpira kuisha, ilikuwa ni mechi ya ushindani ilioisha 3-2 huku Portugal wakionekana kuzidiwa na kutolewa muda wowote.
Achana na hio Mechi ya kufuzu njoo Euro, Almost mechi zote Hadi fainali kahusika karibia magoli yote Kama sio magoli yote Either ana assist ama anafunga ama 2Nd assist.