Lionel Messi Hana Sifa za Uongozi kama za Cristiano Ronaldo

Soma ulichokiandika , nakunukuu

Argentina inachokosa kikubwa ni uongozi
Kwenye uongozi kinachohitajika ni
  1. Inspiration - aweze kuwatia hamasa wenzake hata wakati wa hali ngumu
  2. Kujengewa wachezaji positive and winning mentality
  3. Communication - aweze kuwa mdei laini na rahisi ya mawasiliano- kusiwepo na gap ya mawasiliano yenye kusababisha mahusiano mabaya, magomvi na kutoaminiana
  4. Unification au kujenga timu kila mtu ajione ni sehemu ya timu na peke yake hakuna mafanikio
  5. Uzalendo - kwamba mafanikio ni lazima kwa ajili ya familia, marafiki, ndugu, nchi na awe tayari kujitoa mhanga kwa ajili ya hiyo
Hizo sifa zote Messi hana
  1. Messi is not a good communicator
  2. Ukimya wake unapitiliza na mara nyingi hana muda wa kuwatia ari na hamasa wenzake
Hebu Soma vizuri jina la mtoa mada
 
Messi kalelewa Ulaya na Barcelona Toka miaka 9 Kama sijakosea, Na Ronaldo pia ni mreno mwenye asili ya Brazil.
We ndo kiazi toka lini Ronaldo Cr7 mreno mwenye asili ya Brazil,,,Brazil ilikuwa koloni la ureno na luga yao ya taifa ni kireno
 
So wale wa Africa kule ufaransa tunakuwa viazi tukiwaita wana asili ya Africa hali ya kuwa walitawaliwa na ufaransa?

Kiazi chengine hiki mama yake ana asili ya Africa Toka cape verde
 
-Ameibeba timu yake kuipeleka world cup vs Sweden kwenye playoff anafunga Hat trick mbele ya Ibra. Moja Kati ya mechi Kali Sana kupata kuiona.
-kwenye Euro mechi karibia zote either anafunga ama anatoa pasi ya Goli kasoro fainali. Na fainali yenyewe alivyoumia akawa kocha yeye.

Portugal Sasa hivi ni wazuri Wana young players ambao Wana potentials kubwa Sana, ila at that time Ronaldo alikuwa akicheza na watu wa kawaida Sana Kama Eder, carvalho, Silva, joao Mario, quaresma etc

Ukitaka nitakuekea clips za Euro jinsi Ronaldo alivyoibeba timu yake Hadi fainali
Chief mkwawa, shikamooo we mzee una akili nyingi sana.
Bila ushabiki, CR 7 ni mtu wa kuigwa sana hata katika maisha ya kawaida tunapaswa kufanya kazi kwa bidii ili kupata mafanikio regardless umezungukwa na watu gani.
 
-Ameibeba timu yake kuipeleka world cup vs Sweden kwenye playoff anafunga Hat trick mbele ya Ibra. Moja Kati ya mechi Kali Sana kupata kuiona.
-kwenye Euro mechi karibia zote either anafunga ama anatoa pasi ya Goli kasoro fainali. Na fainali yenyewe alivyoumia akawa kocha yeye.

Portugal Sasa hivi ni wazuri Wana young players ambao Wana potentials kubwa Sana, ila at that time Ronaldo alikuwa akicheza na watu wa kawaida Sana Kama Eder, carvalho, Silva, joao Mario, quaresma etc

Ukitaka nitakuekea clips za Euro jinsi Ronaldo alivyoibeba timu yake Hadi fainali

Acha kuongea pumba. Kwani huyo Ibrahimovic yeye ndie alikua kipa au Beki?

Na Kwani Leo Messi lini alishindwa kuipelekea Argentina World Cup? umesahau Hatrick ya Mechi ya mwisho ya Qualifying mwaka juzi?

Bado naendelea kusubiri sifa za uongozi. Kufunga goli si katika sifa ya uongozi.
 
Kwa hio unapocheza na magarasa na ukahakikisha yanafunga kwa any means, kupambana kutia cross, ku assist, kufunga, Mpira ukipoa unauwahisha, kukimbiza mda wote sio sifa za uongozi?

Na inategemea unaipeleka vipi na hattrick umefunga against Nani.

Sweden walikuwa vizuri na hio hattrick ya Ronaldo haikuwa tu eti anafunga Goli 3 na mpira kuisha, ilikuwa ni mechi ya ushindani ilioisha 3-2 huku Portugal wakionekana kuzidiwa na kutolewa muda wowote.

Achana na hio Mechi ya kufuzu njoo Euro, Almost mechi zote Hadi fainali kahusika karibia magoli yote Kama sio magoli yote Either ana assist ama anafunga ama 2Nd assist.
 
vipi kuhusu 3rd assist hakua nazo? Katika wachezaji waliovurunda kwenye timu na yeye alikua mmoja. Wazee kina Pepe ndio walioikatia jasho timu mpaka Ubingwa. alikua nje anashbikia tu.
 
Huu ushauri mnaoutoa mngekuwa mnufata hata robo Tz ingekuwa ishabeba world cup mara kobao achilia mbalo Afcon au chan
 
vipi kuhusu 3rd assist hakua nazo? Katika wachezaji waliovurunda kwenye timu na yeye alikua mmoja. Wazee kina Pepe ndio walioikatia jasho timu mpaka Ubingwa. alikua nje anashbikia tu.
Mechi 6 Goli 3 na assist 3 contribution 1 Kila mechi, man of the match 2, pass accuracy 84%, average keypass 1.4 kwa mechi,

Ukitoa Goli la fainali na mawili makundi ndio pekee hajahusika Ronaldo, Amehusika magoli 6 katika 9 timu yake iliofunga, Kama hii ni definition ya kuvurunda kwako, kwaheri endelea kubishana na wenzio.
 
Greizman alimaliza ligi na goli 6 mkuu unakumbuka vizuri? sasa weye unatusifia mtu aliemaliza na matatu. Hata Luis Nani nae alifunga magoli matatu. acha sifa za kutenegeneza hizo.
 
Nani kafunga 3 na magoli 2 ni pasi Za Ronaldo, hivyo hayo mafanikio yake Ronaldo ndio mpishi.

Na hakuna aliokubishia Griezman alikuwa Bora zaidi, na yeye ndio Mchezaji Bora wa michuano.
 
Je na work-rate ya Luis Nani unaikumbuka ? au ushasahau kama huyo jamaa yako alikua anasimama tu mbele kule? Ni ukosefu wa upeo wa mwisho kabisa kujaribu kuaminasha kua Ronaldo alikua ndio best performer wa Portugal mbele ya Nani, Pepe, Guerero ndani ya Ureno kwenye mashindoano ya Ulaya.
 
Yes Nani Ali perform Vizuri lakini decision making yake Sio Ronaldo level, hivi mkuu Hata unaelewa maana ku contribute magoli 6 out of 9? Au nianze kukuletea Gif/video za Goli 1 baada ya jengine?
 
Biggest game ya Portugal na ngumu yao ilikua ni Final nayeye hakuwemo na timu ilishinda. Ila Ureno angelikosekana Pepe uwanjani pengine tungelihesabu mengine.

Kila timu hua ina base yake kuu inayotegemea. Ureno straight yao ilikua ni defense yao. Mechi zote walikua wakidefend na kuvizia counter attack tu. Ni ukosefu wa fadhila kuwavisha uhero watu wengine kuliko waliotumia nguvu nyingi kwenye timu. Ronaldo hakuperforme vizuri kwenye mashindo, usilete idadi ya kua timu imefunga magoli 9 tu. Hivi alishandwaje yeye kuyafikisha alau 12?. mbona huzungumzi kua defense ya Ureno imeruhusu magoli kidogo mno kwenye mashindano? Au hujui kama best defense ndio inayo win title?
Yeye ndio key striker na alikua akicheza lone striker, ni automatic yeye lazima atakua involved kila shambulizi la timu. Sasa kuwa ametoa assist na magoli matatu hapana kubwa hapo. coz wapo wachezaji kibao kweneye ligi waliifikisha goli tatu (Pele, Nani, Giroud) hakuna extraordinary thing alichofanya mpaka awe anajadiliwa kipekee.
 
Huyu chief mkwawa Manchester United mwenzangu kuhusu Ronaldo umwambii kitu ni kama Sir Alex Ferguson kwa CR7 yani kuna mahaba binafsi kwahiyo hili asimsifie ronaldo haiwezekani kabisa
 
Biggest game ya Portugal na ngumu yao ilikua ni Final nayeye hakuwemo na timu ilishinda. Ila Ureno angelikosekana Pepe uwanjani pengine tungelihesabu mengine.

Kila timu hua ina base yake kuu inayotegemea. Ureno straight yao ilikua ni defense yao. Mechi zote walikua wakidefend na kuvizia counter attack tu. Ni ukosefu wa fadhila kuwavisha uhero watu wengine kuliko waliotumia nguvu nyingi kwenye timu. Ronaldo hakuperforme vizuri kwenye mashindo, usilete idadi ya kua timu imefunga magoli 9 tu. Hivi alishandwaje yeye kuyafikisha alau 12?. mbona huzungumzi kua defense ya Ureno imeruhusu magoli kidogo mno kwenye mashindano? Au hujui kama best defense ndio inayo win title?
Yeye ndio key striker na alikua akicheza lone striker, ni automatic yeye lazima atakua involved kila shambulizi la timu. Sasa kuwa ametoa assist na magoli matatu hapana kubwa hapo. coz wapo wachezaji kibao kweneye ligi waliifikisha goli tatu (Pele, Nani, Giroud) hakuna extraordinary thing alichofanya mpaka awe anajadiliwa kipekee.
Tatizo unatoa vitu kichwani na huna Data.
1. Wales na France ndio timu pekee zenye maGoli mengi kupita Portugal, hivyo timu ya tatu kwenye magoli si Haba.

2. Hao uliowataja Wana Goli 3 Wana Assist Kama Ronaldo pia? Maana Ronaldo ni wa pili kwa magoli na ni wa pili kwa assist pia.

3. Si kweli pia eti Portugal wamefungwa Goli chache Kuna mechi wamedroo Hadi 3-3 Tena magoli ya kizembe zembe Wana concede,

Angalia hii video mechi ya kudecide kwamba Portugal anafuzu ama anatoka mara 3 wanakuwa nyuma na Ronaldo anawaokoa
 
Katika mechi nne za hatua ya knockout Portugal walifungwa goli moja tu. huku mbili kati ya hizo mechi zikienda extra time.

Kuokoa unakufahamu mkuu? hivi ikipigwa krosi ukavizia mpira na kuutia nyavuni ndio kuokoa? ndio individual? ndio kubeba? msitoe sifa ambazo sio zake.
Na Vipi ile Penalty aliyooikosa akaifanya timu ipite kama best loser umeisahau?

Hebu tizama hapa. Hii ndio individual, Hii ndio kubeba timu, hii ndio kuokoa, Hii ndio kuchukulisha timu Taji
 
Huo mtoano mechi ya 16 Bora Portugal wakiifunga timu Bora kabisa ya Croatia, Anafunga Quaresma juhudi zikifanywa na Huyo Huyo Ronaldo, mechi ilioisha 1-0

Mechi ya robo ndio pekee ilioisha kwa matuta na Nusu vile vile Ronaldo Tena individually akawatoa Wales mbele ya Bale na Ramsey. Akifunga Goli na Assist kwa Nani.

Na kuhusu kukosa penalty inatokea popote pale ila Atleast Ronaldo ni mmoja wa wapiga penalty bora.

Huyo maradona nae alikuwepo Euro 2016?
 
Hiyo ndio individual, Hiyo ndio kubeba timu. Sio mchezaji anaibia anasubiri krosi halafu munakuja kutwambia anabeba timu.
Hicho ni kipaji pia, wabongo wengi wanajua kupiga chenga ndio kuwa Bora, hivyo vichwa anavyopiga Ronaldo watu wachache Sana duniani wanaweza. Even NBA wanapocheza Basket wachache Sana wanaweza kuruka zaidi yake.

Ronaldo ana magoli 123 ambayo amefunga kwa vichwa, hizo sio namba za kitoto.
 
Back
Top Bottom