Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Asipochuka benzima kwa hii CV basi tena asahau maana vizazi vya sahivi vinajua mpira ubunifu na akili nyingi, ushindani wasasa ni mkubwa sana kwenye ubora wa wachezajiCV ya Karim Benzema 2022;
1) Mfungaji bora wa La Liga 2022.
2) Mfungaji bora wa UEFA Champions League 2022.
3) Mshindi wa La Liga Cup 2022.
4) Mshindi wa UEFA Champions League Cup 2022.
5) Goli lake la kwanza Stamford Bridge ndio limechaguliwa kuwa goli bora la UEFA 2022.
6) Ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ufaransa anaecheza mpira nje ya Ufaransa 2022.
7) Ametwaa tuzo ya mchezaji bora La Liga mwezi 2022.
8) Mshindi wa UEFA Champions League mara 5 2022.
9) Amechaguliwa kwenye timu ya UEFA 2022.
10) Amechaguliwa kama mshambuliaji bora wa Ulaya 2022.
11) Ameingia katika top 3 ya wachezaji waliofunga magoli mengi ndani ya UEFA msimu mmoja (15 goals sawa na CR7).
12) Amekuwa mchezaji mwenye magoli mengi kwa ujumla katika UEFA (Top 3).
13) Amekua mchezaji mwenye magoli mengi kwa ujumla katika historia team ya Real Madrid.
Tuzo bado zitaendelea 2022. . . . .
Namba 13 fafanua with vivid example. [emoji1787]CV ya Karim Benzema 2022;

kwingine kote sawa ila shida ni hapo kwenye "vizazi vya sasa hivi"Asipochuka benzima kwa hii CV basi tena asahau maana vizazi vya sahivi vinajua mpira ubunifu na akili nyingi, ushindani wasasa ni mkubwa sana kwenye ubora wa wachezaji
Umekariri mpira.Tutarajie Messi kushinda tuzo ya msimu huu kwasababu huwa anapendwa UEFA.
Mkuu, vipi na hapo namba 13?kwingine kote sawa ila shida ni hapo kwenye "vizazi vya sasa hivi"
Kwakutumia kigezo namba 8 basi Messi ndio anastahili.CV ya Karim Benzema 2022;
1) Mfungaji bora wa La Liga 2022.
2) Mfungaji bora wa UEFA Champions League 2022.
3) Mshindi wa La Liga Cup 2022.
4) Mshindi wa UEFA Champions League Cup 2022.
5) Goli lake la kwanza Stamford Bridge ndio limechaguliwa kuwa goli bora la UEFA 2022.
6) Ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ufaransa anaecheza mpira nje ya Ufaransa 2022.
7) Ametwaa tuzo ya mchezaji bora La Liga mwezi 2022.
8) Mshindi wa UEFA Champions League mara 5 2022.
9) Amechaguliwa kwenye timu ya UEFA 2022.
10) Amechaguliwa kama mshambuliaji bora wa Ulaya 2022.
11) Ameingia katika top 3 ya wachezaji waliofunga magoli mengi ndani ya UEFA msimu mmoja (15 goals sawa na CR7).
12) Amekuwa mchezaji mwenye magoli mengi kwa ujumla katika UEFA (Top 3).
13) Amekua mchezaji mwenye magoli mengi kwa ujumla katika historia team ya Real Madrid.
Tuzo bado zitaendelea 2022. . . . .
Jikite kwenye uchambuzi wa mada iliyopo mezani.Mtoa uzi ni mchambuzi wa mchongo
Hahahahaha!Moja kwa moja anahitajika mganga toka ngende huko ili messi ashinde hii tuzo.
Mwaka jana huo ndio ulikuwa utetezi wa team ronaldo baada ya Messi kunyakua.Umekariri mpira.
Tunawasubiria mtakapokuja mkilialia baada ya Messi kubeba tuzo..🤣Moja kwa moja anahitajika mganga toka ngende huko ili messi ashinde hii tuzo.
kizazi chenye ushindani thabiti, kizazi hichi ukibaki kwenye ushindani on top muda wote unakua ni genius, mfano mzuri ni Messi ah jamaa ni genius aliewahi kutokea kwenye soka, mimi namkubali sana CR7 ila mess ana uchawi mwingine aisehkwingine kote sawa ila shida ni hapo kwenye "vizazi vya sasa hivi"