Lionel Messi kumpiku Karim Benzema kwenye tuzo ya Ballon d'or mwaka 2022

Daah ila kama messi atahusishwa na hizi tuzo basi itakua ni zinatolewa kwa ukubwa wa jina tu.
 
German usikalili. Ktk taifa ambalo mipango Yao ya soccer hawana kelele ni German.

Subiri shughuli yake
 
Kwakutumia kigezo namba 8 basi Messi ndio anastahili.

6, 7 na 13 ni vigezo?

Vingine umerudiarudia tu vya UEFA hapo mara kafunga kama ronaldo mara sijui top 3 mara hivi mara vile..🤣

Anastahili kwa njia gani? Benzema amebaba CHampion League mara 5, Messi amebeba 4 tu.
 
Mashabiki wa Messi wamekua ni vichaa, uwendawazimu unawanyemelea.
 

Argentina hawana uwezo wa kuzifunga France wala Germany.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…