Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Unamaliza nguvu zako kuwaelimisha hawa kima Hawatakuelewa wamejawa na muhemko wa hat tric hawajawah ona
 
Wapumbavu nyinyi mmenisababishia kikohozi kwa kucheka.

By the way, huyu Messiah huwa hachezei mpira kwa kushindana na mtu, yeye anajichezea tu mpira wake. Tukirudi kwa 'mbebwaji', yeye hujikamua mishipa ya koo hadi washeli mnamlegea ili tu ashindane na Messiah. Na pia, mbebwaji ana tabia ya ujivuni
 
hakuna source ya ukweli iliothobitisha taarifa yako!zaidi ya blabla na chuki za kumchafua mtu!pili hakuna anaekataa kua messi hana kipaji ila utofauti unakuja!moja amezaliwa na uwezo na mwengine anajituma!sasa kazi kwako!we ukipenda tembele yule atapenda kisamvu!!.
 
Messi ajifunze kwa Ronaldo? hahaha ajifunze kitu gani labda kwa mfano?
Ana vitu vingi sana vya kujifunza. Kwanza kujitambua yeye ni nani. Kama kiongozi wa timu na taifa linamuangaliaje. Mtu kama Messi hakuwa wa kukata tamaa mpaka kufikia kustaafu timu ya taifa kisa wamekosa ubingwa wa America. Mpaka aje abembelezwe ndio akubali.
 
Sijui utajitofautishaje na mpinga Kristo , sijui utajitofautishaje na mdharau Mungu ,sijui utajitofautishaje na muasi shetani.

Katika ufahamu na mafundisho mbalimbali ya maisha na elimu ya dini tumekuzwa kwa kulitukuza,kuliheshimu ,kuliheshimu na kuliabudu jina la Nyumba wetu yaani MUNGU.

Sasa kwako nimerudia Mara mbilimbili kusoma Uzi wako nikijaribu kutafuta unafananisha nn au una maana gani? Nimeshangazwa na uandishi wako wa neno Mungu lenye kuanza na herufi kubwa kumfananisha na Messi.

Hakika huku ni kutukosea heshima na dharau iliyojaa kiburi kisa soka kumlinganisha binadamu na Muumba wetu.

Binafsi ningekuomba ujitafakari na utumie mifano mwingine mingi na bora kumsifu Messi na kumponda Cr7 na jamii ya wapenda soka ingekuelewa
 
Kiukweli Messi sio Mchezaji wa Mpira ni Mchezea Mpira.

Nimempa Heshima zote
Namkubali messi, ila si mchezea mpira, gaucho ndio ana cheo cha kuuchezea mpira..

Messi anacheza mpira, ila ana sifa ya kufanya mambo magumu kuonekana mepesi, kumbuka chenga ya boateng alaf anamfunga neur
 
Mie ni mshabiki wa messi mnoo, lakin siwez kujaribu mapenzi yangu niyaambukize kwa wengine.

Huo ni msimamo wako wewe..

Simkubali ronaldo ila simchukii.
 

Ukiwa na akili za ' Funza ' siku zote utashindwa kumuelewa GENTAMYCINE na kumwona wa ajabu wakati ukweli ni kwamba Uandishi wangu na uibuaji wangu wa mijadala humu JF imakuwa ni ya ' Kifikirishi ' zaidi na ' Chokonozi ' ili Watu waweze ' Kufunguka ' na ' Kujadili ' nje ya box.

Jitahidi sana Mkuu uimarishe uwezo wako wa IQ ili siku zingine uwe unanielewa ' Purely Talented and Charismatic Fella ' Mimi GENTAMYCINE vinginevyo utazidi tu ' Kuteseka ' nami humu.
 
Narudia tena dogo ubishi haukusaidii hali yakuwa bado hujajua nenda English Course kwa faida yako.
Kijana wakiume kama wewe badala ya kuandika "vizuri" unaandika "vizury" jitathmini upya.
Tatizo lenu watu wa bara mmechelewa sana mko nyumaa kichizii
 
Usitulazimishe tukubaliane na ushetani wako, wampendaa? Kafunge naye ndoa. Shenzi zako
Mkuu majuzi umewatukana wanajeshi wetu walinda Amani huko Congo....!!
Hapa tena (kwa swala la Burudani tu) unatutukania kijana wetu (member mwenzako) matusi mazito, vipi Mkuu una tatizo gani limekukuta..!?
 
Ahsante kwa kuziona akili zangu ni za funza !!!
Lkn nimekupa funzo kuu kama una akili fikirishi au huna hiyo akili fikirishi utakuwa taratibu umeipata.

Kamwe huwezi kuwa na akili fikirishi ukatumia uandishi wa neno Mungu (yenye uandishi huu) kumuita binadamu !(fikilishi ni mungu)
 
Takwimu zinaonesha watu wanao tumia mkono au mguu wa kushoto huwa wana nguvu ya ziada katika kazi zao na siku zote wanaweza, mfano.

Obama
Messi
Rafael
Maradona
Mike Tyson
Quavo huncho
 
Mkuu majuzi umewatukana wanajeshi wetu walinda Amani huko Congo....!!
Hapa tena (kwa swala la Burudani tu) unatutukania kijana wetu (member mwenzako) matusi mazito, vipi Mkuu una tatizo gani limekukuta..!?

Bado yupo katika muendelezo wa maadhimisho ya Siku ya Wendawazimu iliyokuwa na Kilele chake Jumatatu au Jumanne Mkuu.
 

Naona bado ni mwendelezo ule ule wa ' akili ' za ' Funza ' naziona.
 
Takwimu zinaonesha watu wanao tumia mkono au mguu wa kushoto huwa wana nguvu ya ziada katika kazi zao na siku zote wanaweza, mfano.

Obama
Messi
Rafael
Maradona
Mike Tyson
Quavo huncho

Umemsahau na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Mkuu nae pia ni ' malefti ' vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…