Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
[emoji23][emoji23]Hira kure kijijini hana cheza sana haliwahi kuchukuwa kobe la mmbuzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Hira kure kijijini hana cheza sana haliwahi kuchukuwa kobe la mmbuzi?
[emoji23][emoji23]
Kama anajua akachukue kombe la Dunia! Pele hapa ndo anapomkamatia! Ukicheza mpira mwingi bila Kombe la Dunia ni sawa na 0.
King Leo Messi is the football genius of all time.
Hakika huyu kiumbe hajapata kutokea
Abadilishe timu kwanza ili tumrank vizuri kama wenzake waliofanya vizuri pia ktk timu zingine
Aende mchangani sio!
Popote pale,ila abadilishe upepo tuone kama utavuma nae kama hapo alipopigiliwa misumari
Yah Ni kwer kwa upande mwengine inabd afanye hvo ....ni mchezaji mzuri lakin kwa Hispania tu................sabab timu yake inapotoka nje ya ligi hua anawakati mgumu wa kuposes mechi ...........................sometime anafichwa kabisa...inabidi aondoe mazoea ya big match kama real Madrid atletico Madrid sevilla Valencia.... Inabidi apate ushindani ndani ya ligi kwa bigmatch tofauti....namkubar jamaa lakin aje na uingeleza kidg Hata italy au ufalansa ............Germany kugumu....lakin akisalia Hispania ..basi katika historia ya mpira ukitaka kumwongelea mess inabidi uende Hispania ..........Aende mchangani sio!
Je kwenye UEFA hawa anakutana na timu za Spain pekee? Nadhani hicho huwa ni kipimo kizuri kinachokutanisha giants wa Ulaya.Yah Ni kwer kwa upande mwengine inabd afanye hvo ....ni mchezaji mzuri lakin kwa Hispania tu................sabab timu yake inapotoka nje ya ligi hua anawakati mgumu wa kuposes mechi ...........................sometime anafichwa kabisa...inabidi aondoe mazoea ya big match kama real Madrid atletico Madrid sevilla Valencia.... Inabidi apate ushindani ndani ya ligi kwa bigmatch tofauti....namkubar jamaa lakin aje na uingeleza kidg Hata italy au ufalansa ............Germany kugumu....lakin akisalia Hispania ..basi katika historia ya mpira ukitaka kumwongelea mess inabidi uende Hispania ..........
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata Dura alikuwa hanacheza sana hila mujomba wagu wa itaria halikaataha kuwenda nahe itaria kuwa sababu bibi yake ni muchawi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hangempereka itaria kuchezeya timu ya Heisii Mirani au Hinta Mirani angehenda vatikani kumuoba papa francisco amuhombee bibi yake ahache huchawi