Lionel Messi ni wakati wa kupewa jina analostahili

Lionel Messi ni wakati wa kupewa jina analostahili

Kama anajua akachukue kombe la Dunia! Pele hapa ndo anapomkamatia! Ukicheza mpira mwingi bila Kombe la Dunia ni sawa na 0.

Watanzania bwana, ndiyo maana wazungu wanatudharau...kwahiyo unakubaliana na statement ya CHIZI!!!! Kama kigezo ni world cup basi hata Mbappe,Griezmann, Varane,Kante wote hawa ni bora zaidi ya Messi...si ndiyo?? Au!!
 
Popote pale,ila abadilishe upepo tuone kama utavuma nae kama hapo alipopigiliwa misumari

Aende tim gani yenye hadhi kwake! Coz barca ndio tim pekee inayomfaa kuliko tim yeyote ulimwenguni...kwa mbaali RM. Waliobakia watamlipa nini? Na kama kukutana alishakutana na tim za epl mara nyingi, Bundes liga, ligue 1 and serie A na amewanyanyasa sana, sasa bado nini!!! Tim za amerika ya kusini pia ashakutananazo kazinyanyasa kama kawaida yake...
 
Aende mchangani sio!
Yah Ni kwer kwa upande mwengine inabd afanye hvo ....ni mchezaji mzuri lakin kwa Hispania tu................sabab timu yake inapotoka nje ya ligi hua anawakati mgumu wa kuposes mechi ...........................sometime anafichwa kabisa...inabidi aondoe mazoea ya big match kama real Madrid atletico Madrid sevilla Valencia.... Inabidi apate ushindani ndani ya ligi kwa bigmatch tofauti....namkubar jamaa lakin aje na uingeleza kidg Hata italy au ufalansa ............Germany kugumu....lakin akisalia Hispania ..basi katika historia ya mpira ukitaka kumwongelea mess inabidi uende Hispania ..........
 
Je kwenye UEFA hawa anakutana na timu za Spain pekee? Nadhani hicho huwa ni kipimo kizuri kinachokutanisha giants wa Ulaya.
 
Hangempereka itaria kuchezeya timu ya Heisii Mirani au Hinta Mirani angehenda vatikani kumuoba papa francisco amuhombee bibi yake ahache huchawi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nani kama MESSI?
HAKUNA[emoji4]
IMG_20181209_183513.jpeg
 
Back
Top Bottom