Lionel Messi

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Jana baada ya kuangalia mechi ya liverpool na man utd,ambayo to be honest it wasnt a "classic" nikaangalia mechi kati ya barcelona na zaragoza.
Kwa kweli vitu alivyofanya huyu Messi si vya kawaida,alifunga magoli matatu mawili kati ya hayo ni juhudi na uwezo binafsi wa hali ya juu.Timu yake ilishinda magoli 4,goli la 4 likiwa ni penati iliyosabibishwa na ufundi wake tena.
Messi anafanya mpira unaonekana ni mchezo mwepesi sana.Messi anadhihirisha mpira sio maguvu kwani ana mwili mdogo sana.
Wiki iliyopita alifunga magoli 3 dhidi ya Valencia,katikati ya wiki alifunga magoli 2 dhidi ya stuttgart,hivyo ndani ya siku 7 kijana huyu mwenye umri wa miaka 22 kafunga magoli 8!!!
Kwa maoni yangu hakuna ubishi Messi ni zaidi ya Ronaldo na Rooney,kawaacha mbali sana kiuwezo.Naweza kusema Messi ni mchezaji bora wa dunia kwa sasa,na anaweza kuwa BEST PLAYER EVER!!!

Ningependa kusikia maoni yenu wanaJF hasa tukizingatia SOL CAMPBELL, GAEL CLICHY, VARMAELEN,SAGNA soon watapambana na huyu bwana mdogo.
 
Naona Rooney ungemtoa kwenye list hii bora hata Drogba, Magoli ya Rooney yeye anasubili Valencia amletee kichwani ndo afunge.Messi kiboko ni mchezaji bara na atabaki kuwa mchezaji bora.Kwa mechi ya jana dhidi ya Zaragoza dogo alicheza vizuri sana,japo Abrahimovic alipoteza nafasi nyingi za wazi lakini Messi hakukata tamaa,aliendelea kucheza vizuri hata ile penalty aliamua kumuachia Abrahimovic lakini angekuwa Rooney angetaka yeye ndo apige.Messi hana majivuno wala hasira za ajabu ajabu hasa awapo uwanjani. Messi bado namba moja na Rooney asahau kabisa.
 


sawa kaka,tuweke top ten
1.messi
2.ronaldo
3.rooney
4.higuain
5.torres(kwasababu ya injuries)
6.drogba
7.d.villa
8.van persie(injuries zimemshusha)
9.henry
10.forlan

hao ndio top ten strikers wangu kwa sasa....
 
Messi is most talented player in the world
 
Mzee una hasira na Rooney, na ataendelea kukutungua tu
 
Mzee una hasira na Rooney, na ataendelea kukutungua tu
Mkuu sijakataa kama Rooney hafungi magoli hapa tunamlinganisha Rooney na Messi.Nimesema kuwa Magoli anayofunga Rooney na ya Messi ni tofauti sana Messi anahangaikia goli lakini Rooney anamalizia tu iliyokwisha tengenezwa na wengine,nafikili kama uliangalia mechi ya jana ya Barcelona na ya j'tano na last weekend utagundua kuwa Messi magoli yake hakuna Strike anaweza kuyafunga na hata kama wakiweza sio magoli 8 ndani ya wiki moja.
 
Vipi mnajaribisha viatu vipi vinatosha?
 
Mkubwa hivi jina la thread inasema nani zaidi kati ya Messi na Rooney ?au nimekosea kusoma
 
labda mzee unamzungumzia Rooney wa Manzese kwa Mtogore ama wa Buguruni kwa mnyamani.
Rooney huyu mzaliwa wa England , mkulia katika club ya Everton na mchezaji wa Man UTD, ni mpambanaji saana, ni mtafutaji saaana, angalia lile goli lake la kwanza katika ligi kuu ya England karibu miaka sita iliyopita, anagalia goli alilowafunga Arsenal juzi , ni aina ya magoli ambayo anayafunga mara kwa mara.
Messi ni mchezaji mzuri katika ligi ile, angalia anamagoli mangapi champion league ya mwaka jana ambayo Barca walitwaa ubingwa ? angalia hadi sasa anamagoli mangapi champion league.
Rooney , Tores ama Ronaldo ni wachezaji wazuri kwa aina yao ya uchezaji.
 

kaka uko sahihi,
Rooney ni striker mzuri.....lakini Messi is more than a striker,more than a footballer,Messi is out of this world...........
 
Top 10 yangu ni hii-TOP 10 STRIKER
  1. Leo Messi
  2. Wayne Rooney
  3. Gonzalo Higuain
  4. David Villa
  5. Fernando Torres
  6. Didier Drogba
  7. Christiano Ronaldo
  8. Diego Milito
  9. Carlos Tevez
  10. Samuel Etoo
 
Top 10 yangu ni hii-TOP 10 STRIKER
  1. Leo Messi
  2. Wayne Rooney
  3. Gonzalo Higuain
  4. David Villa
  5. Fernando Torres
  6. Didier Drogba
  7. Christiano Ronaldo
  8. Diego Milito
  9. Carlos Tevez
  10. Samuel Etoo
Mkuu Belo
Je, kazi ya ukocha ulisomea wapi? Naona una kipaji kikubwa, pengine itakuwa vizuri zaidi umsaidie kibabu Fergi maana mwaka huu mambo junguluka ... ....
 
1. Messi
2. Ronaldo
3. Drogba
4. Robinho
5. Rooney
6. Henry
7. Torres
8.David villa
9. Van persie
10. Higuain
 
Top 10 yangu ni hii-TOP 10 STRIKER
  1. Leo Messi
  2. Wayne Rooney
  3. Gonzalo Higuain
  4. David Villa
  5. Fernando Torres
  6. Didier Drogba
  7. Christiano Ronaldo
  8. Diego Milito
  9. Carlos Tevez
  10. Samuel Etoo

list yako naikubali,ila hao wawili wabadilishane nafasi.
 
1. Messi
2. Ronaldo
3. Drogba
4. Robinho
5. Rooney
6. Henry
7. Torres
8.David villa
9. Van persie
10. Higuain

list yako naikubali kama utamwondoa huyo red hapo juu,kwa lipi haswa umpe hio nafasi??
real madrid-he was a failure
man city-disastrous
santos-jury is still out

in short he was a potential but fail to reach the expectations.
 
1.Drogba
2.C. Ronaldo
3.Lampard
4.Torres
5.Ronaldinho
6.Etoo
7.Deco
8.Scholes
9.henry
10.berbatov
 
Kwa mujibu wa Maradona, Messi ndio mrithi wake. Messi is simply the best. The New Diego!
 
Kwa mujibu wa Maradona, Messi ndio mrithi wake. Messi is simply the best. The New Diego!

kama messi akiwawezesha argies kuchukua WC basi atakuwa zaidi ya maradona.
TUKO PAMOJA MESSI IS SIMPLY THE BEST.
 
1.Drogba
2.C. Ronaldo
3.Lampard
4.Torres
5.Ronaldinho
6.Etoo
7.Deco
8.Scholes
9.henry
10.berbatov

mkuu,
hapa messi hapati namba??
 
Top 10 yangu ni hii-TOP 10 STRIKER
  1. Leo Messi
  2. Wayne Rooney
  3. Gonzalo Higuain
  4. David Villa
  5. Fernando Torres
  6. Didier Drogba
  7. Christiano Ronaldo
  8. Diego Milito
  9. Carlos Tevez
  10. Samuel Etoo

Belo nakuheshimu sana.
Na sikutegemea kama kuna siku utakuja kujivua nguo hapa JF.

Nimesikitishwa sana na Top 10 yako mkuu. Kuna mtu hujamjumuisha humo.

Huyo mtu anaaminika kuwa alishushwa toka mbinguni ili atuonyeshe soka la huko linavyochezwa.

Pia inaaminika kuwa endapo anakuwa uwanjani akicheza basi malaika huko juu wanaacha shughuli zao na kuburudishwa na vitu vya huyu bwana.

So tafadhari Belo omba radhi na urekebishe kikosi chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…