RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Jana baada ya kuangalia mechi ya liverpool na man utd,ambayo to be honest it wasnt a "classic" nikaangalia mechi kati ya barcelona na zaragoza.
Kwa kweli vitu alivyofanya huyu Messi si vya kawaida,alifunga magoli matatu mawili kati ya hayo ni juhudi na uwezo binafsi wa hali ya juu.Timu yake ilishinda magoli 4,goli la 4 likiwa ni penati iliyosabibishwa na ufundi wake tena.
Messi anafanya mpira unaonekana ni mchezo mwepesi sana.Messi anadhihirisha mpira sio maguvu kwani ana mwili mdogo sana.
Wiki iliyopita alifunga magoli 3 dhidi ya Valencia,katikati ya wiki alifunga magoli 2 dhidi ya stuttgart,hivyo ndani ya siku 7 kijana huyu mwenye umri wa miaka 22 kafunga magoli 8!!!
Kwa maoni yangu hakuna ubishi Messi ni zaidi ya Ronaldo na Rooney,kawaacha mbali sana kiuwezo.Naweza kusema Messi ni mchezaji bora wa dunia kwa sasa,na anaweza kuwa BEST PLAYER EVER!!!
Ningependa kusikia maoni yenu wanaJF hasa tukizingatia SOL CAMPBELL, GAEL CLICHY, VARMAELEN,SAGNA soon watapambana na huyu bwana mdogo.