LIONEL RICHIE: Mwamba na mtawala wa muziki wa Funk, Soul, Rhythm, Blues and country music

Unawajua wazungu wewe? Unafikiri USA ni kama Tz wote mnamjua Diamond sijui Kiba. USA a lot of people dont give a fcuk! Hiki niklicoandika Lionel Ritchie alisimulia mwenyewe kwenye Top Gear akihojiwa na Jeremy Clarkson.
Nilishangaa siku moja kuna mtangazaji alikuwa anauliza watu kuhusu wasanii, kuna jamaa mmoja mzungu wa makamo aliulizwa unamfahamu Rick Ross akasema hapana, yale mazingira ilikuwa kama kijijini flani kule wanaishi wakulima... mi mwenyewe nilishangaa sana.
 
Wazungu sio wafuatiliaji wa kila jambo, wengine wako busy na maisha yao. Unaweza shangaa mzungu hamjui Mr Bean na ndio mzungu mwenzake, ije kuwa Rick Ross. 😂😂
 
Ila kitu ambacho huyu jamaa Lionel Richie ananishangaza ni muonekano wake, ni mzee lakini huwa hazeeki kimuonekano imagine hapa ilikuwa 2019 na huyu ni girlfriend wake Lisa Parigi, jamaa hapa ana miaka 70 na anachakata watoto safi kabisa, sijui anakula nini huyu jamaa...
Lionel-Richies-Girlfriend-Get-to-Know-Model-Lisa-Parigi-1-1.jpg
 
Huyu mzee ndo udongo ule wa kina Jakaya mkuu. Yani mtu anakata miaka, lkn muonekano ni wa kitoto kitoto tu muda wote.
 
Do it to me
Penny Lover
Say You Say Me
Ballerina Girl
Stuck on You
Easy like Sunday Morning

Namkubali sana Lionel Richie wa Mo Town Records
Zaidi ya miaka 40 kwenye mziki, lkn bado yuko vizuri. TID wa juzi tu hapa tayari ashatepeta 😂😂😂
 
Back
Top Bottom