100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Nilishangaa siku moja kuna mtangazaji alikuwa anauliza watu kuhusu wasanii, kuna jamaa mmoja mzungu wa makamo aliulizwa unamfahamu Rick Ross akasema hapana, yale mazingira ilikuwa kama kijijini flani kule wanaishi wakulima... mi mwenyewe nilishangaa sana.Unawajua wazungu wewe? Unafikiri USA ni kama Tz wote mnamjua Diamond sijui Kiba. USA a lot of people dont give a fcuk! Hiki niklicoandika Lionel Ritchie alisimulia mwenyewe kwenye Top Gear akihojiwa na Jeremy Clarkson.