Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
- Thread starter
- #81
Dunia imeharibika sana!
Wakati nasoma hii, nimekumbuka kisa cha mwanafunzi mmoja.... mtoto wa kiume ambaye kushuka kwake masomo kumefanya kazi ya ziada ifanyike.Kilichogundulika kimetisha!
Baba mzazi kaamua kumgeuza " mke"...... kwa kumdanganya " these are things daddies do with their sons..moms do special things with daughters..so dont tell anyone!"..... tuliosimuliwa kisa hiki tuliangua kilio......
having said that... huyo bwana bora akapumuliwe/pumulie wenzie huko nje!....
Binafsi im just fed-up na moral decay of our society!..nyumba ndogo is no longer an issue/threat! kuna surprises nyingi mno.... ndoa huenda zitakuja kufa tu siku moja!..wengine kazi zetu zinatufanye tuone na kusikia mengi kiasi ambacho tunashindwa hata kushangaa tena.
Thanks very much WOS! Ndio maana watu katika mazingira ya kawaida yanafanya waone kwamba Babu Seya alionewa au alibambikiziwa kesi. Sasa hebu ona hapo kwenye RED, je katika hali ya kawaida inaweza kuingia akilini baba mzazi kumfanyia mwanae wa kiume kitendo kama hicho? Huyo inabidi akapimwe akili kwanza!