Lipi Bora?

Lipi Bora?

WOS,

Hapa sasa week end yangu umeanza kuharibika. Mke asiye na hatia anateketea na watoto wanaitwa OVCs. Very sad indeed! Tuendelee J3, ngoja niwahi wanangu!
Yah!! Ni kweli, nami ngoja niwahi ibadani, kwaresima kwa wale wanaojua majira tuelekee twachie keyboard sasa, ni wakati uliokubalika
 
its a shame that we are living in a world full of uozo!
I could tell you more of such tales utaumia!
labda kwa kuwaonyesha kiwango cha uharibifu.... another case,... a 15 year old boy kawekwa kinyumba na kigogo mmoja mwenye wadhifa mkubwa. Mtoto keshaathirika....na anajua kaathirika....hasomi wala haoni sababu ya kwenda shule maana kwenye bank account an 5 m.( to him its a lot!)..amepangiwa nyumba iko fully furnished... anavalishwa expensively.... ila ( listen/read gud here!!) when the kigogo is away kasafiri..the boy cheats with other men..and he feels no sorry kama wataambukizwa maana yeye naye kaambukizwa!.... jamani..halafu kuna watu wanadhani uozo huu siyo ishu... watu hao nao wana wake zao.... fikiria una mume ..kampitia kijana huyu..kisha anakurudia nyumbani... no wonder wanawake wako radhi kujua hali zao za afya kwa kupima mara kwa mara...

haya yapo TZ au???? dah Mungu wangu, inaogopesha saana jamani, nini kifanyike sasa? inaogopesha
 
its a shame that we are living in a world full of uozo!
I could tell you more of such tales utaumia!
labda kwa kuwaonyesha kiwango cha uharibifu.... another case,... a 15 year old boy kawekwa kinyumba na kigogo mmoja mwenye wadhifa mkubwa. Mtoto keshaathirika....na anajua kaathirika....hasomi wala haoni sababu ya kwenda shule maana kwenye bank account an 5 m.( to him its a lot!)..amepangiwa nyumba iko fully furnished... anavalishwa expensively.... ila ( listen/read gud here!!) when the kigogo is away kasafiri..the boy cheats with other men..and he feels no sorry kama wataambukizwa maana yeye naye kaambukizwa!.... jamani..halafu kuna watu wanadhani uozo huu siyo ishu... watu hao nao wana wake zao.... fikiria una mume ..kampitia kijana huyu..kisha anakurudia nyumbani... no wonder wanawake wako radhi kujua hali zao za afya kwa kupima mara kwa mara...
kwa kweli vitu ulivyoelezea hapa vimenifanya nishindwe hata kuendelea kula jamani,natamani nisiolewe wala nisiszae maana imagine una mtoto wako anafanyiwa haya... au mume wako unagundua kuwa ni shoga...ningekufa mie mwenzenu..na wala nisingeweza kuishi naye tena maana ningemuonea kinyaa..nasikia kulia mie mwenzenuuu..dunia yetu inatisha jamani..watu tumekuwa na mioyo ya ajabu..dada kweli kazi yako ngumu..mie ningekuwa nalia hadi nashindwa kuwajibika...hivi tufanyaje ili tuzuie hivi vitendo jamaniii.
 
Kuna watu kama wawili hivi wenye shule za nyadhifa zao nawafahamu ambao ni mashoga wa kisiri siri. Wana pesa, familia, wake na watoto.

Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo anatembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine, au ugundue kwamba mumeo ni shoga na anapumuliwa kisogoni kwa siri na wanaume wenzie?

Same difference. Kuna njia nyingi za kumuua paka. U can scoop out somebody's heart with a spoon or do it faster with a knife, kwa hiyo mwisho wa siku utakuwa umemuua mtu - kwa hiyo utauliza lipi bora?

Evil even dressed in makeup and most expensive clothes, better social standing will still smell.
 
its a shame that we are living in a world full of uozo!
I could tell you more of such tales utaumia!
labda kwa kuwaonyesha kiwango cha uharibifu.... another case,... a 15 year old boy kawekwa kinyumba na kigogo mmoja mwenye wadhifa mkubwa. Mtoto keshaathirika....na anajua kaathirika....hasomi wala haoni sababu ya kwenda shule maana kwenye bank account an 5 m.( to him its a lot!)..amepangiwa nyumba iko fully furnished... anavalishwa expensively.... ila ( listen/read gud here!!) when the kigogo is away kasafiri..the boy cheats with other men..and he feels no sorry kama wataambukizwa maana yeye naye kaambukizwa!.... jamani..halafu kuna watu wanadhani uozo huu siyo ishu... watu hao nao wana wake zao.... fikiria una mume ..kampitia kijana huyu..kisha anakurudia nyumbani... no wonder wanawake wako radhi kujua hali zao za afya kwa kupima mara kwa mara...

Duh! Hii kali ya mwaka! Halafu ndio hao hao viongozi wetu tunaotegemea watajali maisha yetu na ya kizazi kijacho. Ndio maana US kiongozi akigundulika ana-cheat tu kwa mkewe wanamfukuza kazi!
 
Mmh.hakuna cha bora hapa.Zote ni ngono nje ya ndoa hivyo hakuna cha afadhali
 
Sipendi nigundue lolote kati ya hayo lakini linalovuka mipaka ni hilo la mme wangu kubebwa na mwanamme mwenzie loh ..unaweza kuchanganyikiwa !
 
kwa kweli vitu ulivyoelezea hapa vimenifanya nishindwe hata kuendelea kula jamani,natamani nisiolewe wala nisiszae maana imagine una mtoto wako anafanyiwa haya... au mume wako unagundua kuwa ni shoga...ningekufa mie mwenzenu..na wala nisingeweza kuishi naye tena maana ningemuonea kinyaa..nasikia kulia mie mwenzenuuu..dunia yetu inatisha jamani..watu tumekuwa na mioyo ya ajabu..dada kweli kazi yako ngumu..mie ningekuwa nalia hadi nashindwa kuwajibika...hivi tufanyaje ili tuzuie hivi vitendo jamaniii.

Mpendwa siachi kupiga goti kila siku nakuombea kizazi changu kiwe cha heri na hekima ..mungu atunusuru na haya mabalaa...
 
its a shame that we are living in a world full of uozo!
I could tell you more of such tales utaumia!
labda kwa kuwaonyesha kiwango cha uharibifu.... another case,... a 15 year old boy kawekwa kinyumba na kigogo mmoja mwenye wadhifa mkubwa. Mtoto keshaathirika....na anajua kaathirika....hasomi wala haoni sababu ya kwenda shule maana kwenye bank account an 5 m.( to him its a lot!)..amepangiwa nyumba iko fully furnished... anavalishwa expensively.... ila ( listen/read gud here!!) when the kigogo is away kasafiri..the boy cheats with other men..and he feels no sorry kama wataambukizwa maana yeye naye kaambukizwa!.... jamani..halafu kuna watu wanadhani uozo huu siyo ishu... watu hao nao wana wake zao.... fikiria una mume ..kampitia kijana huyu..kisha anakurudia nyumbani... no wonder wanawake wako radhi kujua hali zao za afya kwa kupima mara kwa mara...
Enough WoS!
Hili suala liishie hapa...mtu anayeendelea kuwaza chochote juu ya hili jambo ana shida!
 
Kuna watu kama wawili hivi wenye shule za nyadhifa zao nawafahamu ambao ni mashoga wa kisiri siri. Wana pesa, familia, wake na watoto.

Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo anatembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine, au ugundue kwamba mumeo ni shoga na anapumuliwa kisogoni kwa siri na wanaume wenzie?

Aisifie Mvuwa hapana shaka imemnyeshea.
 
Duh! Hii kali ya mwaka! Halafu ndio hao hao viongozi wetu tunaotegemea watajali maisha yetu na ya kizazi kijacho. Ndio maana US kiongozi akigundulika ana-cheat tu kwa mkewe wanamfukuza kazi!

Mbona Clinton hawakumfukuza?....

Halafu hii thread ilvyokaa bana... why u didnt give us more options🙄
 
Which other options would you suggest? 🙂
 
upi huo B??

Nimekumis......

Upande wa pili ndio upi huo? Fafanua!

mbona ivo tena mnakuwa maslow learner jamani...Lols

hapo wamezungumziwa wanaume, from a woman's perspective,
sasa labda na siye wanaume tukifind out..kipi bora, umkute yuko lesbo ama na mwanaume mwengine? kipi bora apo nadhani noname alitaka option hiyo
 
mie nimelala sana leo haya ndo matokeo yake........
 
Back
Top Bottom