machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Marafiki nimepunguza hasa wasio na faida. Mtu atakaa kimya hajawahi kukupigia au hata text halafu siku moja akija kukupigia anaanza lawama kuwa mbona umenitenga/mbona kimya. Hayo mambo sipendagi kabisaSafi sana Kudadadeki ila Mkuu umewasahau pia na Marafiki wa Kitaani au na hata wale wa Makazini au Wao ni poa tu?
Ukijitenga nao watakuambia kuwa Unaringa, mara unajifanya Msomi na zaidi pia watasema unajifanya una Akili mno.Fata mambo zako,kama unapenda kujichanga tafuta hata watu ambao sio ndugu wala hawana ukaribu na wewe
Ndugu ni masoro sana
Mimi huwa nikiwajibu kama hivi hivi ulivyowajibu Wewe hapa huwa siwaachi bali ni lazima nitawasindikiza na Tusi pia.Marafiki nimepunguza hasa wasio na faida. Mtu atakaa kimya hajawahi kukupigia au hata text halafu siku moja akija kukupigia anaanza lawama kuwa mbona umenitenga/mbona kimya. Hayo mambo sipendagi kabisa
Unaweza kuwafanya wao wenyewe wakikaa kukusema wasikubaliane, wabishane. Huyu anasema genta mbaya mwingine anasema jamaa hana shida, yule anasema mm mbona tuko poa tu, mwingine anasema damu zetu haziendani. Ilimradi wenyewe wavurugane badala ya kuja na sauti moja kuwa genta anaringa.Ukijitenga nao watakuambia kuwa Unaringa, mara unajifanya Msomi na zaidi pia watasema unajifanya una Akili mno.
Una IQ Kubwa sana Mkuu sidhani kama unalijua hilo ila kama ulikuwa hujui / hujijui basi Mimi leo hii Nimekusanulia hivi.Unaweza kuwafanya wao wenyewe wakikaa kukusema wasikubaliane, wabishane. Huyu anasema genta mbaya mwingine anasema jamaa hana shida, yule anasema mm mbona tuko poa tu, mwingine anasema damu zetu haziendani. Ilimradi wenyewe wavurugane badala ya kuja na sauti moja kuwa genta anaringa.
Napokea baraka hizo mkuu. Shukraan.Una IQ Kubwa sana Mkuu sidhani kama unalijua hilo ila kama ulikuwa hujui / hujijui basi Mimi leo hii Nimekusanulia hivi.
Nakuomba zipokee kwa Mikono yako yote Miwili. Ukiona GENTAMYCINE nakukubali hivi tena wazi jua nimeshakusoma mno.Napokea baraka hizo mkuu. Shukraan.
Ukijitenga nao watakuambia kuwa Unaringa, mara unajifanya Msomi na zaidi pia watasema unajifanya una Akili mno.Kujitenga ni Bora sana brother.... Na hiyo tabia wengi wanaipenda lakini tayari wapo connected na bullshits mbalimbali....
Mwenyewe ni mdau mzuri wa hoja zako.Nakuomba zipokee kwa Mikono yako yote Miwili. Ukiona GENTAMYCINE nakukubali hivi tena wazi jua nimeshakusoma mno.
Una IQ Kubwa sana Mkuu sidhani kama unalijua hilo ila kama ulikuwa hujui / hujijui basi Mimi leo hii Nimekusanulia hivi.
Shukran na tuko pamoja Mkuu.Mwenyewe ni mdau mzuri wa hoja zako.
Wasalimie Uganda hapo bhana..Natamani ungeniona nilivyocheka hadi basi baada ya Kusoma hii Post yako kwani ni kama vile unanipiga Dongo kiaina.
You're also a Genius Chief. Nimependa sana ulivyoandika hapo katika Paragraph yako ya Pili. Leo mnanifurahisha sana.Jamaa ni mwandamizi kwenye medani... Ushauri wake uko makini sana..
Ila usisahau kurudi mara moja moja kuwa check wana na kupiga mbili tatu... Hiyo itakusaidia kujua ulipo, ulipotoka na unapotaka kwenda...
Hayo ni mawazo Yao na misingi Yao na standard zao. Na Mimi nina mawazo yangu, system zangu, mishe zangu, mipango yangu, philosophy zangu, maisha yangu na furaha zangu. Kwanini niishi wao?Ukijitenga nao watakuambia kuwa Unaringa, mara unajifanya Msomi na zaidi pia watasema unajifanya una Akili mno.
Kampala hatujambo ila kuna Baridi kidogo leo na kwa Mimi niliyetokea huko Makao Makuu ya Joto Afrika kidogo nasumbuka nalo.Wasalimie Uganda hapo bhana..
Maisha bado yanaendelea kwa ukware huku Kawe na Bagamoyo mkuu... Hahaha...
You're also a Genius Chief. Nimependa sana ulivyoandika hapo katika Paragraph yako ya Pili. Leo mnanifurahisha sana.
Kampala hatujambo ila kuna Baridi kidogo leo na kwa Mimi niliyetokea huko Makao Makuu ya Joto Afrika kidogo nasumbuka nalo.
Hii imekaa vyema mnoBinafsi huwa nabalance mambo. Tutafahamiana ila hatutazoeana. Sijitengi na pia sijipendekezi, ukijipendekeza sikufukuzi ila sikukumbatii au kuruhusu uwe karibu. Ukiwa unapenda kuomba hela nakukopesha kiasi ambacho hakiniumizi ila wewe utaanza kunikwepa ilihali sikutafuti.