Lipi jema kwa Mswahili / Mwafrika kati ya Kuchagua Kuishi maisha ya Kujitenga nao waseme Unaringa au Kujichanganya nao Wakuzoee na waanze Kukudharau?

Fata mambo zako,kama unapenda kujichanga tafuta hata watu ambao sio ndugu wala hawana ukaribu na wewe
Ndugu ni masoro sana
 
Safi sana Kudadadeki ila Mkuu umewasahau pia na Marafiki wa Kitaani au na hata wale wa Makazini au Wao ni poa tu?
Marafiki nimepunguza hasa wasio na faida. Mtu atakaa kimya hajawahi kukupigia au hata text halafu siku moja akija kukupigia anaanza lawama kuwa mbona umenitenga/mbona kimya. Hayo mambo sipendagi kabisa
 
Binafsi huwa nabalance mambo. Tutafahamiana ila hatutazoeana. Sijitengi na pia sijipendekezi, ukijipendekeza sikufukuzi ila sikukumbatii au kuruhusu uwe karibu. Ukiwa unapenda kuomba hela nakukopesha kiasi ambacho hakiniumizi ila wewe utaanza kunikwepa ilihali sikutafuti.
 
Fata mambo zako,kama unapenda kujichanga tafuta hata watu ambao sio ndugu wala hawana ukaribu na wewe
Ndugu ni masoro sana
Ukijitenga nao watakuambia kuwa Unaringa, mara unajifanya Msomi na zaidi pia watasema unajifanya una Akili mno.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Marafiki nimepunguza hasa wasio na faida. Mtu atakaa kimya hajawahi kukupigia au hata text halafu siku moja akija kukupigia anaanza lawama kuwa mbona umenitenga/mbona kimya. Hayo mambo sipendagi kabisa
Mimi huwa nikiwajibu kama hivi hivi ulivyowajibu Wewe hapa huwa siwaachi bali ni lazima nitawasindikiza na Tusi pia.
 
Ukijitenga nao watakuambia kuwa Unaringa, mara unajifanya Msomi na zaidi pia watasema unajifanya una Akili mno.
Unaweza kuwafanya wao wenyewe wakikaa kukusema wasikubaliane, wabishane. Huyu anasema genta mbaya mwingine anasema jamaa hana shida, yule anasema mm mbona tuko poa tu, mwingine anasema damu zetu haziendani. Ilimradi wenyewe wavurugane badala ya kuja na sauti moja kuwa genta anaringa.
 
Una IQ Kubwa sana Mkuu sidhani kama unalijua hilo ila kama ulikuwa hujui / hujijui basi Mimi leo hii Nimekusanulia hivi.
 
Kujitenga ni Bora sana brother.... Na hiyo tabia wengi wanaipenda lakini tayari wapo connected na bullshits mbalimbali....
Ukijitenga nao watakuambia kuwa Unaringa, mara unajifanya Msomi na zaidi pia watasema unajifanya una Akili mno.
 
Una IQ Kubwa sana Mkuu sidhani kama unalijua hilo ila kama ulikuwa hujui / hujijui basi Mimi leo hii Nimekusanulia hivi.

Jamaa ni mwandamizi kwenye medani... Ushauri wake uko makini sana..

Ila usisahau kurudi mara moja moja kuwa check wana na kupiga mbili tatu... Hiyo itakusaidia kujua ulipo, ulipotoka na unapotaka kwenda...
 
You're also a Genius Chief. Nimependa sana ulivyoandika hapo katika Paragraph yako ya Pili. Leo mnanifurahisha sana.
 
Ukijitenga nao watakuambia kuwa Unaringa, mara unajifanya Msomi na zaidi pia watasema unajifanya una Akili mno.
Hayo ni mawazo Yao na misingi Yao na standard zao. Na Mimi nina mawazo yangu, system zangu, mishe zangu, mipango yangu, philosophy zangu, maisha yangu na furaha zangu. Kwanini niishi wao?
 
Wasalimie Uganda hapo bhana..

Maisha bado yanaendelea kwa ukware huku Kawe na Bagamoyo mkuu... Hahaha...
Kampala hatujambo ila kuna Baridi kidogo leo na kwa Mimi niliyetokea huko Makao Makuu ya Joto Afrika kidogo nasumbuka nalo.
 
You're also a Genius Chief. Nimependa sana ulivyoandika hapo katika Paragraph yako ya Pili. Leo mnanifurahisha sana.

Pamoja sana Mr talented and entertainer..
Kampala hatujambo ila kuna Baridi kidogo leo na kwa Mimi niliyetokea huko Makao Makuu ya Joto Afrika kidogo nasumbuka nalo.

Kama baridi ni kali bhas tukupatie bendera uiwakilishe Nchi vyema huko kwa kupiga show ya kuelewaka.
 
Binafsi huwa nabalance mambo. Tutafahamiana ila hatutazoeana. Sijitengi na pia sijipendekezi, ukijipendekeza sikufukuzi ila sikukumbatii au kuruhusu uwe karibu. Ukiwa unapenda kuomba hela nakukopesha kiasi ambacho hakiniumizi ila wewe utaanza kunikwepa ilihali sikutafuti.
Hii imekaa vyema mno
 
Back
Top Bottom