Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Wife alinifundisha falsafa moja siku zote huwa ananikataza kuzoeana na watu wa mtaani ( To be cheap)Yaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
Mimi huwa sizoeleki na siluhusu mazoea na Ni MTU mwenye mipaka (boundaries) Ila Ni MTU wa watu najumuika na watu
Kwa Sasa Ni hayo