Fally kidoba
Member
- Jun 7, 2023
- 52
- 66
Aisee huu uongo wa wazi tani moja unajua bei gani? Je kila mchoro wa ghorofa unakula nondo za m15 ? Vituko hiviShughuli ipo pia kwenye ujenzi wa slab ya first floor. Nondo peke yake ni zaidi ya milioni 15.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee huu uongo wa wazi tani moja unajua bei gani? Je kila mchoro wa ghorofa unakula nondo za m15 ? Vituko hiviShughuli ipo pia kwenye ujenzi wa slab ya first floor. Nondo peke yake ni zaidi ya milioni 15.
Mkuu kama unaona nadanganya anza ujenzi utajua ukweli au uongo. Ila nakusihi usitumie "Fundi Maiko"Aisee huu uongo wa wazi tani moja unajua bei gani? Je kila mchoro wa ghorofa unakula nondo za m15 ? Vituko hivi
Mkuu kama unaona nadanganya anza ujenzi utajua ukweli au uongo. Ila nakusihi usitumie "Fundi Maiko"
Tayari niko ktk sekta ya ujenzi muda mrefu tu, so hunidanganyi kitu! Mahesabu ya nondo ni kutokana na mchoro wako, maana kama tunanunua nondo kwa rejareja sh.21,000 mm12 ina maana kwa m15 tunapata nondo 714, tani moja ya mm12 zinakaa nondo 94, kwa hyo hapo ni tani 7.5 ghorofa ya kutumia tani 7 so mchezo ni kubwa sana, hapa tunazungumzia zile za kawaida kabisa, ambazo mpk tani 5 tani 4 unatumia, pia kumbuka michoro ni tofauti, pia ardhi inaweza fanya zitumike nondo nyingi au chache, kwa mfano anayejenga kwenye mfinyanzi tofauti na tifutifu, kuna mambo mengi mno, usikariri tu nondo M15, inaweza kuzidi au kupungua piaMkuu kama unaona nadanganya anza ujenzi utajua ukweli au uongo. Ila nakusihi usitumie "Fundi Maiko"
Mkuu, hapa kila mtu anatoa uzoefu kwa namna alivyofanya ujenzi. Mimi sijasema hiyo experience yangu ndio Standard kwa kila mtu anayetaka kufanya ujenzi wa ghorofa. Nilichofanya ni kutahadharisha kuwa ujenzi wa ghorofa inabidi mhusika ajipange. Kwa hiyo, tutoe uzoefu wetu ili kuwasaidia ambao wanahitaji kufanya ujenzi.Tayari niko ktk sekta ya ujenzi muda mrefu tu, so hunidanganyi kitu! Mahesabu ya nondo ni kutokana na mchoro wako, maana kama tunanunua nondo kwa rejareja sh.21,000 mm12 ina maana kwa m15 tunapata nondo 714, tani moja ya mm12 zinakaa nondo 94, kwa hyo hapo ni tani 7.5 ghorofa ya kutumia tani 7 so mchezo ni kubwa sana, hapa tunazungumzia zile za kawaida kabisa, ambazo mpk tani 5 tani 4 unatumia, pia kumbuka michoro ni tofauti, pia ardhi inaweza fanya zitumike nondo nyingi au chache, kwa mfano anayejenga kwenye mfinyanzi tofauti na tifutifu, kuna mambo mengi mno, usikariri tu nondo M15, inaweza kuzidi au kupungua pia
Na kwa jengo la kawaida la makazi la ghorofa moja nondo size gani ndo zinatakiwa kutumika kwenye slab? Nimesoma mahali kuwa inawezekana kutumia mm 12 kwa pamoja na 10 kwenye slab kwa ghorofa moja kwa maana ya kichanja cha juu na chini je hii ni sawa?Ndugu yangu,mimi hii ni ndoto yangu kujenga ghorofa, nimefanya utafiti wa kina miaka kama 6 hivi nafanya utafiti. Kwanza elewa tunatishana sana kuhusu ghorofa.. ..
Ghorofa moja ya makazi kama hiyo ambayo unamanisha haina haja ya kuweka mawe na kumwaga zege(Germany concrete).. hii niliambiwa na mtaalamu kabisa na anajenga sana hizi ghorofa na nimefika site zake mara kadhaa, pili matumizi ya nondo wanadanganya sana,watu wengi hawaelewi, nondo zinazoweza kutumika zinaweza kuwa mm12, mm10, mm16 na mm 8, ila wengi utasikia lazima mm16 kwenye nguzo..uongo. Unaweza tumia mm12 ila kwenye kusuka wataweka nondo 6, ukitumia mm16 wataweka nondo 4, slab ni mm12 zinatumika, mm10 utatumia kama rings. Ila pia kuna muda wanaangalia na ardhi ikoje ndo watoe budget, kama eneo tambalale halina maji maji ardhi kama ya siyo mfinyanzi hapo unaweza jikaza tu, cha msingi kaa na mtaalam mpe wazo lako mchore ramani na makadirio yote. Siyo hivyo wanavyosema walimwengu japo pesa inatembea kidogo.
Mkuu kupanga ni kuchagua ,kama unataka kujenga na mpunga unao fresh ,jilipue tu.Na kwa jengo la kawaida la makazi la ghorofa moja nondo size gani ndo zinatakiwa kutumika kwenye slab? Nimesoma mahali kuwa inawezekana kutumia mm 12 kwa pamoja na 10 kwenye slab kwa ghorofa moja kwa maana ya kichanja cha juu na chini je hii ni sawa?
pia Countrywide, King Kong III hebu saidieni hapa
mm 10 lazima ziwepo katika ghorofa nyingi, hizi hutumika kama rings! mm12 hutumika kwenye hicho kichanja, halafu ishu ya kichanja cha chini siyo lazima kwa kila ghorofa usikariri! Matumizi ya mm16 inategemea na ardhi na matumizi pia na mchoro ulivyo. Muulize Eng. Yoyote mm12 zinaweza kutumika bila shida kabisa kwa ghorofa za makazi.Na kwa jengo la kawaida la makazi la ghorofa moja nondo size gani ndo zinatakiwa kutumika kwenye slab? Nimesoma mahali kuwa inawezekana kutumia mm 12 kwa pamoja na 10 kwenye slab kwa ghorofa moja kwa maana ya kichanja cha juu na chini je hii ni sawa?
pia Countrywide, King Kong III hebu saidieni hapa
Sio gharama sana lakini jipange... Pesa inatembea bro...