Lipi Ni kundi Bora la Muda wote Hip Hop Tanzania?

TMK,Nako2Nako ,Watu pori,Wachuja nafaka,Gangwe Mob,Mabaga fresh na Solid Ground Family wazee wa bush party-

Ila dah Big black wa Solid Ground Family katurusha sanaa kitaani ,sasa hivi yupo home kwa bi mkubwa wake
 
Mzee wa nini mnataka mazee... Pig Black, kuna mzee wa lisauti.. Ommy G hao ni baadhi wa wanakundi la Free Doggs Camp
Ommy G hakuwa Solid Ground family na kina Big black, huyu Pig black alitokea FDC nilikuwa najua alitoka mwenyewe kama solo artist na ile ngoma yake ya nini mnataka mazee. Basi mambo ni mengi.
 
Chamber squad sijawaona ilikua sio kundi
Hawa walikuwa kama watoto wa gheto waliokuwa pamoja, ndio mana mara nyingi waliimba mmoja mmoja kama solo artist, hawakujitanabaisha kama kundi kwa kuimba pamoja mfano Ngwear, Noor n.k
 
East Coast Team lilikuwa kundi zuri tu usingekuwa ubeberu wa GK wangeendelea kufanya vizuri zaidi.
 
TMK,Nako2Nako ,Watu pori,Wachuja nafaka,Gangwe Mob,Mabaga fresh na Solid Ground Family wazee wa bush party-

Ila dah Big black wa Solid Ground Family katurusha sanaa kitaani ,sasa hivi yupo home kwa bi mkubwa wake
Daaah. Wachuja nafaka nilikuwa nawakubali sana hawa jamaa, ingawa hawakudumu sana.
 
TMK,Nako2Nako ,Watu pori,Wachuja nafaka,Gangwe Mob,Mabaga fresh na Solid Ground Family wazee wa bush party-

Ila dah Big black wa Solid Ground Family katurusha sanaa kitaani ,sasa hivi yupo home kwa bi mkubwa wake
Kuna kakundi kalikuwa pale TMK nature akaja kukivuruga na TMK wanaume family ile ya mwanzo kabisa. Kilikuwa cha watu wawili. Nimekasahau uzee huu
 
Waturutumbi yupo Stopa na wengine wapo Chuga.
Okeee Man stopa, nimewapata vyema hawa jamaa, uzuri wa wasanii wa mwanzo kabisa walikuwa wanatoka kwa makundi ingawa kwenye kundi unakuta msanii mmoja au wawili ndio wanafahamika sana kuliko wengine, pengine umaalufu wao wanavuka hadi kundi lililowatoa.
 
Mtoa mada umewasahau kidogo Daz Nundaz, nao wameanza ku hustle mda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…