Lipi Ni kundi Bora la Muda wote Hip Hop Tanzania?

Lipi Ni kundi Bora la Muda wote Hip Hop Tanzania?

East Coast Team nilikua nawaelewa sana jamaa unyamwezi wao ila hawajawai kua na nyimbo ya kundi
 
Je, ni kundi gani la HipHop Bongo linastahili kupewa Crown ya Kundi Bora zaidi kuwahi kutoke?
HBC
Kwanza Unit
Kikosi cha Mizinga
TMK
Manzese Crew
Solid ground Family
Diplomats
Nako2Nako
Xplastaz
Gangwe Mobb
East Coast Team
GWM
Uswahini Matola
Wateule
Wagosi wa kaya
Watengwa
wana hip hop mbona wachache hapo
 
Je, ni kundi gani la HipHop Bongo linastahili kupewa Crown ya Kundi Bora zaidi kuwahi kutoke?
HBC
Kwanza Unit
Kikosi cha Mizinga
TMK
Manzese Crew
Solid ground Family
Diplomats
Nako2Nako
Xplastaz
Gangwe Mobb
East Coast Team
GWM
Uswahini Matola
Wateule
Wagosi wa kaya
Watengwa
Wote wanajitahidi na walijitahidi ila kwa sasa ni weusi balaa .
 
Kuna kakundi kalikuwa pale TMK nature akaja kukivuruga na TMK wanaume family ile ya mwanzo kabisa. Kilikuwa cha watu wawili. Nimekasahau uzee huu
Gangster With Matatizo (GWM) au unazungumzia wale LWP walioimba nyimbo ya Jela na Mke wa Mtu Sumu?
 
Fat black,Ml chriss na bony love,,hip hop dj's.
 
Back
Top Bottom