Lipi Ni kundi Bora la Muda wote Hip Hop Tanzania?

Lipi Ni kundi Bora la Muda wote Hip Hop Tanzania?

Hardblasters pale kuna Nigga Jay kule kuna Terry Fanani na Big Willy.
To me Diplomats is the best,
Real legendary kwenye game,
Nadhani ngoma yao are you down with diplomats ilikuwa kali sana ingawa ilikuwa its like Rhythm fulani copy ya Dj Quick!!

I salute them aisee....
 
Back
Top Bottom