BDP makini, hatari sana hao jamaaXPlastaz
Watengwa
HBC
Big Dogg Pose
wana hip hop mbona wachache hapoJe, ni kundi gani la HipHop Bongo linastahili kupewa Crown ya Kundi Bora zaidi kuwahi kutoke?
HBC
Kwanza Unit
Kikosi cha Mizinga
TMK
Manzese Crew
Solid ground Family
Diplomats
Nako2Nako
Xplastaz
Gangwe Mobb
East Coast Team
GWM
Uswahini Matola
Wateule
Wagosi wa kaya
Watengwa
Nawakubali weusiWeusi sijawaona hapo, au ndo hawafanyi Hiphop?
Wote wanajitahidi na walijitahidi ila kwa sasa ni weusi balaa .Je, ni kundi gani la HipHop Bongo linastahili kupewa Crown ya Kundi Bora zaidi kuwahi kutoke?
HBC
Kwanza Unit
Kikosi cha Mizinga
TMK
Manzese Crew
Solid ground Family
Diplomats
Nako2Nako
Xplastaz
Gangwe Mobb
East Coast Team
GWM
Uswahini Matola
Wateule
Wagosi wa kaya
Watengwa
Nilichnganya mafile kamandaHao kwa kenya
Ova
Gangster With Matatizo (GWM) au unazungumzia wale LWP walioimba nyimbo ya Jela na Mke wa Mtu Sumu?Kuna kakundi kalikuwa pale TMK nature akaja kukivuruga na TMK wanaume family ile ya mwanzo kabisa. Kilikuwa cha watu wawili. Nimekasahau uzee huu
Yaaap, LWP, Jela ndo walimshirikisha Inspector,Gangster With Matatizo (GWM) au unazungumzia wale LWP walioimba nyimbo ya Jela na Mke wa Mtu Sumu?
Chamber Squad lilikuwa kundi lakini sio la hip hop