To me Diplomats is the best,
Real legendary kwenye game,
Nadhani ngoma yao are you down with diplomats ilikuwa kali sana ingawa ilikuwa its like Rhythm fulani copy ya Dj Quick!!
"Jina langu Lina vuma kwenye mitaa
Jina langu Lina hadhi ya kisupastaa
Jina langu Lina ongeza idadi ya maadui
Wengine nawajua wengine siwatambui
Jina langu J....."