Lipi ni neno sahihi na sanifu...

Lipi ni neno sahihi na sanifu...

Mr Focus

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Lipi neno sahihi na sanifu kati ya "KIZA" na "GIZA"? nisaidieni wana jukwaa la lugha.
 
Lipi neno sahihi na sanifu kati ya "KIZA" na "GIZA"? nisaidieni wana jukwaa la lugha.

Yote ni sahihi na sanifu na yana maana ile ile.

Ni sawa tu, kwa mfano, na maneno sifuri na sufuri.
 
Back
Top Bottom