M Mr Focus Member Joined Jan 25, 2014 Posts 13 Reaction score 1 Jan 28, 2014 #1 Lipi neno sahihi na sanifu kati ya "KIZA" na "GIZA"? nisaidieni wana jukwaa la lugha.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Jan 29, 2014 #2 naona wanapita tu hawakusaidii
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Jan 29, 2014 #3 Mr Focus said: Lipi neno sahihi na sanifu kati ya "KIZA" na "GIZA"? nisaidieni wana jukwaa la lugha. Click to expand... Yote ni sahihi na sanifu na yana maana ile ile. Ni sawa tu, kwa mfano, na maneno sifuri na sufuri.
Mr Focus said: Lipi neno sahihi na sanifu kati ya "KIZA" na "GIZA"? nisaidieni wana jukwaa la lugha. Click to expand... Yote ni sahihi na sanifu na yana maana ile ile. Ni sawa tu, kwa mfano, na maneno sifuri na sufuri.