kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha *Best Government page of the year* kwa mwaka 2020.
Cha kufanya;
1. Fungua hiyo link utakutana na neno Vote chini kabisa ya ukurasa
2. Utakutana na Vipengele vitatu yani *Award Category*, *Sub Category * na *Selection*
3. Kwa upande wa Award Category chagua *DIGITAL GOVERNANCE* na chagua *BEST GOVERNMENT PAGE OF THE YEAR* kwenye kipengele cha Sub Category
4. Kwenye kipengele cha Selection chagua TANESCO
Hatua ya mwisho wameandika VOTE NOW! Bonyeza hapo na utakua umefanikiwa kupiga kura yako. Asanteni sana na tunaomba ushirikiano wako!
Uku kusini umeme unasumbua sana kwa kukatika kila mara , mtwara ,masasi,lindi na ndanda kuanzia mchana hadi sasa hivi saa 5 kasoro usiku hui hakuna umemeLipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha *Best Government page of the year* kwa mwaka 2020.
Cha kufanya;
1. Fungua hiyo link utakutana na neno Vote chini kabisa ya ukurasa
2. Utakutana na Vipengele vitatu yani *Award Category*, *Sub Category * na *Selection*
3. Kwa upande wa Award Category chagua *DIGITAL GOVERNANCE* na chagua *BEST GOVERNMENT PAGE OF THE YEAR* kwenye kipengele cha Sub Category
4. Kwenye kipengele cha Selection chagua TANESCO
Hatua ya mwisho wameandika VOTE NOW! Bonyeza hapo na utakua umefanikiwa kupiga kura yako. Asanteni sana na tunaomba ushirikiano wako!
Na laiti wangejua kama nimechomeka cm kwa charge.loh wangeleta mgao eneo hili.RAYAN THE DON,
Uzuri ni kwamba unatype comment kitandani kwako huku simu ikiwa imepachikwa kwenye socket inayofyonza umeme toka kwenye nguzo ya Tanesco 🤣🤣🤣
hhhhhhhNa laiti wangejua kama nimechomeka cm kwa charge.loh wangeleta mgao eneo hili.
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Hata shule inayoshika nafasi ya mwisho kitaifa huwa inakuwa na mtu ambaye huwa anaongoza darasani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kebehi, Mkipiga kura waajiriwa wote mnaweza kushinda pia. Sio lazima tupige kura sisi maana ntapiga kura kwa mazuri yapi !? Kwa huduma zipi !? Hata mkishinda itakuwa ni ushindi batili tuu maana hamna vigezo kabisa.
Ila kuna watu wana moyo. Serious umekuja kuomba kura humu?