Lipo tumaini kwa Watanzania na dunia kwa ujumla

ONJO

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
216
Reaction score
265
Sauti ya kilio na maombolezo ilisikika watu wasikubali kufarijiwa kwa kuwa hayupo tena,amelala.

Siku zikapita,miezi ikapita,na hatimae mwaka ukapita nisielewe maana ya fumbo hili!.Nikijiuliza kwanini ardhi imekubali kumpokea wakati bado tunamwitaji?

Nikiwa katika usingizi,tazama nilikuwa nimekaa katika giza nene!.Mara nikaona nyota iking'ara kupita zile zingine zote na zile nyota zikaanza kuizunguka ile nyota,nikaitazama na ghafla ikatoweka kukawa na giza kuu,huzuni ikatanda ndani ya moyo wangu.

Nikiwa katika kufikili maana ya fumbo hilo,nikaona Nyota mbili;moja ikitokea Mashariki na ile nyingine ikitokea Magharibi; zikijongea(kutembea) kwa kuelekeana na badae ziligongana uso kwa uso na kuwa Nyota moja yenye kutoa nuru kubwa kuliko ile ya kwanza.

Mwanga wa nyota hii ulikuwa mkubwa kuliko ule wa mwanzo, wala mawingu hayakuweza kuuzuia kutoa mwanga wake.

Ndipo nilipomkumbuka yule mteule na hadithi yake,inayohusu kumchukua Binti mrembo aliyekuwa anaishi juu ya mlima;wala hakupatikana mtu wa kumchukua isipokuwa kijana mdogo.

Nikauliza ni nani huyo Bwana uliyemchagua?.Akaniambia utakapomwona Rais Samia S Hassani katoka madarakani,kiti cha Raisi kitachukuliwa na Kassimu majaliwa;na uongozi wake utakuwa mkali sana.

Tena nikaona Malaika toka pande zote za mbingu na watu wote wa Dunia wakimtazama yeye aliyechaguliwa.Nami nikasema sasa ni wakati wa injili ya Bwana kuhubiriwa kwa Mataifa yote.

Nanyi ndugu muonapo ishara hizi zikitokea,Aminini kuwa Mungu humwinua mtu ampendae kwa wakati wake.
 
Ukishakuwa PM, kuupata urais nchi hii sahau.
Kama walimtosa Lowasa, haitakuwa rahisi kwake,
Ni maoni yangu tu, sio sheria, Mtanzania yeyote anaweza kugombea na kushinda urais,
 
Wakati utazungumza mkuu tuliwekeni akilini hili
Ukishakuwa PM, kuupata urais nchi hii sahau.
Kama walimtosa Lowasa, haitakuwa rahisi kwake,
Ni maoni yangu tu, sio sheria, Mtanzania yeyote anaweza kugombea na kushinda urais,
 
Hilo jizi la kura ndio unatarajia liwe rais?
 
Nikauliza ni nani huyo Bwana uliyemchagua?.Akaniambia utakapomwona Rais Samia S Hassani katoka madarakani,kiti cha Raisi kitachukuliwa na Kassimu majaliwa;na uongozi wake utakuwa mkali sana.
 
Kipimo cha unabii wowote uwe wa ukweli au wa uongo ni muda...

Sisi kazi yetu ni kusibiri kuona utimilifu au ukengeufu wa ulichoandika...
 
Sauti ya kilio na maombolezo ilisikika watu wasikubali kufarijiwa kwa kuwa hayupo tena,amelala.

Siku zikapita,miezi ikapita,na hatimae mwaka ukapita nisielewe maana ya fumbo hili!.Nikijiuliza kwanini ardhi imekubali kumpokea wakati bado tunamwitaji?

Nikiwa katika usingizi,tazama nilikuwa nimekaa katika giza nene!.Mara nikaona nyota iking'ara kupita zile zingine zote na zile nyota zikaanza kuizunguka ile nyota,nikaitazama na ghafla ikatoweka kukawa na giza kuu,huzuni ikatanda ndani ya moyo wangu.

Nikiwa katika kufikili maana ya fumbo hilo,nikaona Nyota mbili;moja ikitokea Mashariki na ile nyingine ikitokea Magharibi; zikijongea(kutembea) kwa kuelekeana na badae ziligongana uso kwa uso na kuwa Nyota moja yenye kutoa nuru kubwa kuliko ile ya kwanza.

Mwanga wa nyota hii ulikuwa mkubwa kuliko ule wa mwanzo, wala mawingu hayakuweza kuuzuia kutoa mwanga wake.

Ndipo nilipomkumbuka yule mteule na hadithi yake,inayohusu kumchukua Binti mrembo aliyekuwa anaishi juu ya mlima;wala hakupatikana mtu wa kumchukua isipokuwa kijana mdogo.

Nikauliza ni nani huyo Bwana uliyemchagua?.Akaniambia utakapomwona Rais Samia S Hassani katoka madarakani,kiti cha Raisi kitachukuliwa na Kassimu majaliwa;na uongozi wake utakuwa mkali sana.

Tena nikaona Malaika toka pande zote za mbingu na watu wote wa Dunia wakimtazama yeye aliyechaguliwa.Nami nikasema sasa Hasira ya Bwana inatulizwa kwa sababu ya kiongozi ambaye moyo wake umempenda upeo.

Nanyi ndugu muonapo ishara hizi zikitokea,Aminini kuwa Mungu humwinua mtu ampendae kwa wakati wake.

Na kila mwenye pumzi na aseme ''Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi na utende kama ulivyokusudia'',AMINA.
Majaliwa Majaliwa Taslim hawezi na hafai kuwa rais wa nchi yetu.
 
Shituka usingizini usije jinyea kitandani
 
ONJO kwani Kassimu Majaaliwa anatokea Magharibi?
 
Hizo ni dalili za kwanza majaliwa ndiye atayetengeneza njia kwa ajili ya yule Alieandaliwa na Bwana
 
Umetumia kipimo gani kupima uongo? Saa inakuja na ukweli utawekwa mchana kweupe.
 
Ukishakuwa PM, kuupata urais nchi hii sahau.
Kama walimtosa Lowasa, haitakuwa rahisi kwake,
Ni maoni yangu tu, sio sheria, Mtanzania yeyote anaweza kugombea na kushinda urais,
mtazamo wako
 
Mwenyezi Mungu muumba mbingu na Nchi, utende kama upendavyo. Amina.
 
Kujifurahisha siyo vibaya. Lakini kulitaja jina la Mungu kama vile ni mtani wako, ni kufuru. Omba msamaha. Ukuu wa Muumba siyo wa kuchezea.
 
Subiri wakati ufike ndipo useme hayo usemayo
 
Back
Top Bottom