Lipumba amekua Mwenyekiti wa CUF miaka 26, Mbowe wa CHADEMA miaka 17, Zitto wa ACT Wazalendo miaka 7, Jumla miaka 50

Tutolee bandiko lako wala sijalisoma zitto hajawahi kuwa mwenyekiti wa act
 
TANU/CCM miaka zaidi ya 60 madarakani bado tunaongelea watu kunywa maji na mifugo yao
 
Kitendo cha Mbowe kuendelea kuwa madarakani halafu chadema wanadai taasisi imara ni kituko cha mwaka.
 
Zile ni personal properties mkuu,

Ni sawa na wewe ununue kiwanja,

Je utaruhusu mtu mwingine ajenge ndani ya mali yako??

Jibu ni hapana.
 
Zile ni personal properties mkuu,

Ni sawa na wewe ununue kiwanja,

Je utaruhusu mtu mwingine ajenge ndani ya mali yako??

Jibu ni hapana.
Hata akijenga nyumba ni yangu.

Sisi kule kwetu hua tuna msemo mtu akitembea na mkeo akazaa, bado mtoto ni wako. Ni sawa na kulima kwenye shamba la mtu bado mazao ni yake.

Vyama vya siasa Tanzania ni mali binafsi za viongozi sio vyama vya wanachama.

Mafia Boss Mbowe anatumia chama kwa faida yake binafsi.
 
Tutolee bandiko lako wala sijalisoma zitto hajawahi kuwa mwenyekiti wa act
Sio sio mwenyekiti, ni zaidi ya mwenyekiti. Zitto yuko juu ya mwenyekiti maana yake yeye ndie mmiliki wa chama, chama ni mali yake.

Zitto ni kiongozi mkuu wa chama na pia mshauri mkuu wa chama. Sasa kama chama kina mwenyekiti na bado kuna kiongozi mkuu huyo mwenyekiti ana kazi gani?
 
Kwahiyo Mbowe akifa na chadema nayo inakufa?

Basi sawa, kumbe sababu ya kuendelea kuichagua ccm ipo
 
Pilipili usizokula zinakuwasha nini?

On the other hand, ccm inahusu wananchi woote maana ndo imeleta sera za kufukarisha umma
 
CCM imekuwa madarakani miaka 50.
 
NGOs za kisiasa ambazo huku kwetu tunaziita upinzani japo haijulikani wanapinga nini hawana wenyeviti ila wana ma supreme leader
 
Ukiwauliza CDM watakuambia wanataka MIFUMO na sio MTU...kumbe ndani ya chama kuna MTU na sio MFUMO!

Nchi ngumu sana hii, Mbowe aking'ata shuka leo(God forbid) kuna MFUMO gani walioujenga ili kuwa na mwendelezo mzuri wa chama, jibu ni HAKUNA.
 
Hivi wao wenyewe wanasemaji haswa !!?? haidhuru ila Umesahau Na CCM mwenyekiti wa serikali miaka 60 kwa wananchi milioni 60 na maadui wale wale umaskini,maradhi,ujinga miaka 60 tukiwa na silahi zile zile Watu,aridhi safi,uongozi bora na siasa safi miaka 60 sasa.hivi Tanzania tunakwamia wapi !!!!????
 
Kwa hesabu hizi ulizopiga hustahili hata kuwa mke wa zuzu mtu!
 
Akuna demokrasia wapinzani waendelee na wenyeviti wao wa kudumu na serikali ya chama tawala kiendelee kutunza amani na utulivu kwa kudhibiti siasa za porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…