Lipumba amekua Mwenyekiti wa CUF miaka 26, Mbowe wa CHADEMA miaka 17, Zitto wa ACT Wazalendo miaka 7, Jumla miaka 50

Kwa maslahi mapana ya demokrasio mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa CDM ,maana bila yeye na kuwekwa mwenyeketi mwenye "Njaa Njaa" mtaiua CDM ,ila kwa Mboewe mmegonga mwamba na hakika MWAMBA hajatetereka pamoja na kumfanyia hujuma ya kutaka mumfilisi ili aunge mkono juhudi.
Maslahi ya Demokrasia ni mtu kuongoza milele? Duuuh.. Hii itakua Demokrasia ya ufipa, itabidi muiandikie kitabu ili watu waanze kujifunza upya kuhusu Demokrasia.
 
Unataka kusema for the last 17 years of Mbowe Leadership, The party has no or has not groomed a known, reputable and proper replacement? Is that a political party or a family party?

Anyway, one more question, what if Mbowe dies today or tomorrow and there is no proper, reputable and known replacement, will Chadema still exist or it will die with him?
Hoja safi kabisa. Hawa ndo maana wanaitwa nyumbu, akilia hamna kichwani.
 
Mkuu, people are looking for great interests, I criticize you for comparing one's party, to a people's party.

Ccm ni chama cha wananchi na hawa wengine ni vyama vya watu binafsi,ndio mana ukiwa mwanachama wao ukijifanya ujuaji kutishia kuchukua uenyekiti unachekechwa fasta fasta.

alafu wakisha kuchekecha wana anza kuuliza flani yukowapi.
Hapo ni maslahi ya kufa na kupona mkuu hawana mipango mikakati ya kuongoza nchi otherwise wangekuwa mfano bora wa demokrasia.

Wanapiga ngoma ya demokrasia wana demka kidicteta.
Nimecheka sana "eti wakishakuchekecha, wanauliza fulani yuko wapi" [emoji23][emoji23] hapo ungemalizia, baada ya hapo wanaibebesha mzigo Serikali, katekwa na wasiojulikana.
 
Ilikua mwaka 2015.

CHADEMA hasa walikua na tamaa, wamekubaliana kugawana majimbo lakini Chadema wakaleta tamaa.

Chadema ndio walichangia Mtatiro kuhamia CCM kwa fitina walizomfanyia Segerea baada ya Chadema kugoma kumuondoa mgombea wao na aliposhindwa uchaguzi wakamteua viti maalum, sasa kama walikua na nia ya kuja kumteua viti maalum kwa nini hawakumuachia nafasi Mtatiro Segerea?

Tamaa za viongozi wa vyama vya siasa ndio zinaua demokrasia nchi hii.
Alafu wakishindwa uchaguzi wanalalamika wameibiwa kura
 
Vituko sio kidogo.

Kwa jicho la kawaida kabisa Lissu tayari yuko compromised.

Lissu huwezi kumuamini tena kumpa rasilimali za Taifa letu azisimamie.

Lissu yuko Ulaya, kuna mwingine amekua kama nabii Titto anatoa maonyo na mahubiri ya vitisho kwa viongozi wa ccm yuko Canada, mara mungu kasema hivi, mara mungu kasema vile, mara mungu anataka ufanye hili, unajiuliza amekua msemaji wa mungu?Wakati mwingine hua nacheka.
Utabiri wake huwa hautimii?
 
Vyama vya upinzani tunapokua tunalilia demokrasia hapa Tanzania huwa tuna maana gani iwapo kwenye vyama vyetu tu hatuna demokrasia.

Leo viongozi wa vyama vya siasa Tanzania wana combined leadership period of more than 50 years. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha mada hapo juu, Lipumba alipewa uwenyekiti wa CUF mwaka 1995, Mbowe alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mwaka 2004, Zitto alijiteua kuwa kiongozi mkuu na mshauri mkuu (Supreme Leader and Chief Advisor) wa ATC Wazalendo mwaka 2014. Jumla ni miaka 50 na ushee. Sijataka kuunganisha miaka ya Rungwe, Mbatia, Mrema na wengine.

Viongozi hao wao kuwa viongozi wa maisha kwenye vyama vyao ni sawa ila CCM ilichaguliwa na wanachi kuendelea kutawala nchi hii inakua nongwa. Unajiuliza, sasa kama maana demokrasia ni kuchaguana na kuchaguliwa, ndio maana hao viongozi wanachaguliwa na wanachama wao, (Zitto Hachaguliwi wala hapigiwi kura) kuendelea kua viongozi, kwa nini watanzania wakiichagua CCM kuendelea kuwatumikia inakua nongwa?

Huwa najiuliza hivi hawa jamaa kweli wana nia njema na demokrasia ya nchi hii? Mfano Zitto amejipa cheo kisichokua na uchaguzi, yeye ndie mkuu wa chama na mshauri mkuu wa chama, hachaguliwi wala hapigiwi kura, uchaguzi ukiitwa wanachaguliwa wengine ila sio yeye Supreme Leader lakini at the same time CCM wakichaguliwa(angalau basi uchaguzi unakuwepo) inakua nongwa.

Binafsi naamini kuyumba kwa demokrasia nchi hii kunachangiwa sana na viongozi wa vyama vyetu hivi vya siasa kua na tamaa ya uongozi na kutokua ama kuruhusu demokrasia kwenye vyama vyao huku wakitaka demokrasia ya kweli nchini.

Vyama vya siasa, onyesheni demokrasia kwa vitendo ndani ya vyama vyenu. Acheni kuendesha vyama vya siasa ki gangstar ama mafia style kwamba boss mpya atapatikana baada ya kifo cha boss aliekuwepo.
Tatizo lako ni Mbowe wala siyo Chadema. Huna tofauti na yula mama (sijui ngokima au Ngonyani) juzi pale mjengoni aliyekuwa anamwaga uharo wake hadharani.
 
Uwezi ukawa unaoongoza chama kwa miaka zaidi ya 10 kwa kisingizio cha kuruhusiwa na katiba, alafu wewe au watu wanaokuunga mkono wawe na uhalali wa kukosoa Rais akikaa madarakani zaidi ya miaka 10 kwa ruhusa ya katiba!
 
Vyama vya upinzani tunapokua tunalilia demokrasia hapa Tanzania huwa tuna maana gani iwapo kwenye vyama vyetu tu hatuna demokrasia.

Leo viongozi wa vyama vya siasa Tanzania wana combined leadership period of more than 50 years. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha mada hapo juu, Lipumba alipewa uwenyekiti wa CUF mwaka 1995, Mbowe alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mwaka 2004, Zitto alijiteua kuwa kiongozi mkuu na mshauri mkuu (Supreme Leader and Chief Advisor) wa ATC Wazalendo mwaka 2014. Jumla ni miaka 50 na ushee. Sijataka kuunganisha miaka ya Rungwe, Mbatia, Mrema na wengine.

Viongozi hao wao kuwa viongozi wa maisha kwenye vyama vyao ni sawa ila CCM ilichaguliwa na wanachi kuendelea kutawala nchi hii inakua nongwa. Unajiuliza, sasa kama maana demokrasia ni kuchaguana na kuchaguliwa, ndio maana hao viongozi wanachaguliwa na wanachama wao, (Zitto Hachaguliwi wala hapigiwi kura) kuendelea kua viongozi, kwa nini watanzania wakiichagua CCM kuendelea kuwatumikia inakua nongwa?

Huwa najiuliza hivi hawa jamaa kweli wana nia njema na demokrasia ya nchi hii? Mfano Zitto amejipa cheo kisichokua na uchaguzi, yeye ndie mkuu wa chama na mshauri mkuu wa chama, hachaguliwi wala hapigiwi kura, uchaguzi ukiitwa wanachaguliwa wengine ila sio yeye Supreme Leader lakini at the same time CCM wakichaguliwa(angalau basi uchaguzi unakuwepo) inakua nongwa.

Binafsi naamini kuyumba kwa demokrasia nchi hii kunachangiwa sana na viongozi wa vyama vyetu hivi vya siasa kua na tamaa ya uongozi na kutokua ama kuruhusu demokrasia kwenye vyama vyao huku wakitaka demokrasia ya kweli nchini.

Vyama vya siasa, onyesheni demokrasia kwa vitendo ndani ya vyama vyenu. Acheni kuendesha vyama vya siasa ki gangstar ama mafia style kwamba boss mpya atapatikana baada ya kifo cha boss aliekuwepo.
Mkuu naona umemsahau Mbatia na mzee wa palore, sijui nae mzee Mapesa kama kaachia SACCOS yake bado na Msukuma wa maswa mwenye lafudhi ya kizenj Shibuda, hawa kila siku wanataka mageuzi ya demokrasia na katiba mpya wakati wao wenyewe hawaishi kwa hayo wanayoyasema
 
Hivi kweli wewe ni hakimu mfawidhi au unatumia jina tu unashindwaje kureason kuwa huwa wanachaguliwa kwa kupigiwa kura na katiba zao zinaruhusu
 
Vyama vya upinzani tunapokua tunalilia demokrasia hapa Tanzania huwa tuna maana gani iwapo kwenye vyama vyetu tu hatuna demokrasia.

Leo viongozi wa vyama vya siasa Tanzania wana combined leadership period of more than 50 years. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha mada hapo juu, Lipumba alipewa uwenyekiti wa CUF mwaka 1995, Mbowe alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mwaka 2004, Zitto alijiteua kuwa kiongozi mkuu na mshauri mkuu (Supreme Leader and Chief Advisor) wa ATC Wazalendo mwaka 2014. Jumla ni miaka 50 na ushee. Sijataka kuunganisha miaka ya Rungwe, Mbatia, Mrema na wengine.

Viongozi hao wao kuwa viongozi wa maisha kwenye vyama vyao ni sawa ila CCM ilichaguliwa na wanachi kuendelea kutawala nchi hii inakua nongwa. Unajiuliza, sasa kama maana demokrasia ni kuchaguana na kuchaguliwa, ndio maana hao viongozi wanachaguliwa na wanachama wao, (Zitto Hachaguliwi wala hapigiwi kura) kuendelea kua viongozi, kwa nini watanzania wakiichagua CCM kuendelea kuwatumikia inakua nongwa?

Huwa najiuliza hivi hawa jamaa kweli wana nia njema na demokrasia ya nchi hii? Mfano Zitto amejipa cheo kisichokua na uchaguzi, yeye ndie mkuu wa chama na mshauri mkuu wa chama, hachaguliwi wala hapigiwi kura, uchaguzi ukiitwa wanachaguliwa wengine ila sio yeye Supreme Leader lakini at the same time CCM wakichaguliwa(angalau basi uchaguzi unakuwepo) inakua nongwa.

Binafsi naamini kuyumba kwa demokrasia nchi hii kunachangiwa sana na viongozi wa vyama vyetu hivi vya siasa kua na tamaa ya uongozi na kutokua ama kuruhusu demokrasia kwenye vyama vyao huku wakitaka demokrasia ya kweli nchini.

Vyama vya siasa, onyesheni demokrasia kwa vitendo ndani ya vyama vyenu. Acheni kuendesha vyama vya siasa ki gangstar ama mafia style kwamba boss mpya atapatikana baada ya kifo cha boss aliekuwepo.
Vyama vya upinzania ni sawa sawa na "mwari" ingekuwa kama unavyotaka leoMwenyekiti wa Chadema angekuwa Mwambe (CCM) , ACT angekuwa KItilya Nkumbo na CUF angekuwa yule Mkuu wilaya fulani huko kusini hivi aliyetokea CuF (alikuwa Katibu bara CUF)
 
Back
Top Bottom