Lipumba amekua Mwenyekiti wa CUF miaka 26, Mbowe wa CHADEMA miaka 17, Zitto wa ACT Wazalendo miaka 7, Jumla miaka 50

Maslahi ya Demokrasia ni mtu kuongoza milele? Duuuh.. Hii itakua Demokrasia ya ufipa, itabidi muiandikie kitabu ili watu waanze kujifunza upya kuhusu Demokrasia.
 
Hoja safi kabisa. Hawa ndo maana wanaitwa nyumbu, akilia hamna kichwani.
 
Nimecheka sana "eti wakishakuchekecha, wanauliza fulani yuko wapi" [emoji23][emoji23] hapo ungemalizia, baada ya hapo wanaibebesha mzigo Serikali, katekwa na wasiojulikana.
 
Alafu wakishindwa uchaguzi wanalalamika wameibiwa kura
 
Utabiri wake huwa hautimii?
 
Tatizo lako ni Mbowe wala siyo Chadema. Huna tofauti na yula mama (sijui ngokima au Ngonyani) juzi pale mjengoni aliyekuwa anamwaga uharo wake hadharani.
 
Uwezi ukawa unaoongoza chama kwa miaka zaidi ya 10 kwa kisingizio cha kuruhusiwa na katiba, alafu wewe au watu wanaokuunga mkono wawe na uhalali wa kukosoa Rais akikaa madarakani zaidi ya miaka 10 kwa ruhusa ya katiba!
 
Mkuu naona umemsahau Mbatia na mzee wa palore, sijui nae mzee Mapesa kama kaachia SACCOS yake bado na Msukuma wa maswa mwenye lafudhi ya kizenj Shibuda, hawa kila siku wanataka mageuzi ya demokrasia na katiba mpya wakati wao wenyewe hawaishi kwa hayo wanayoyasema
 
Hivi kweli wewe ni hakimu mfawidhi au unatumia jina tu unashindwaje kureason kuwa huwa wanachaguliwa kwa kupigiwa kura na katiba zao zinaruhusu
 
Vyama vya upinzania ni sawa sawa na "mwari" ingekuwa kama unavyotaka leoMwenyekiti wa Chadema angekuwa Mwambe (CCM) , ACT angekuwa KItilya Nkumbo na CUF angekuwa yule Mkuu wilaya fulani huko kusini hivi aliyetokea CuF (alikuwa Katibu bara CUF)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…